Umri wangu 30yrs, mfanyakazi, mkristo Roman Catholic, natafuta rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo:
- Umri 25 - 27.
- Elimu diploma - digrii.
- Asiwe mchaga, mhehe au mnyakyusa.
- Awe mkristo.
- Mfanyakazi au mtafuta kazi au mjasiliamali.
- Awe tayari kuishi popote Tanzania.
Kwa aliye serious...
Heshima yenu wanajukwaa, ninahisi nina tatizo, naomba ushauri wenu. usiku wa kuamkia leo nilipatwa na wet dream, asubuhi kulivyokucha wakati niko bafuni nimekuta semen zilizochanganyika na damu damu kwenye nguo yng ya ndani.
Nilishtuka kidogo coz sijawahi ona kitu kama hicho. Nililazimika ku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.