Recent content by Ngina

  1. N

    JamiiForums Tanzania Maajabu:Nusu ya hii gari wana vichwa vya Ng'ombe.

    aisee sijui nikupe pole?..........pole sana! au hongera? kwa kweli sijui! walikuwa wanakutega waone reaction yao!!!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke: Je una miaka 30 na bado hujaolewa?...Huenda sababu zaweza kuwa ni hizi..!

    unaongea sana kuhusu wanawake!!! ningependa pia uongelee wanaume!!! balansisha kidogo!!! vipi kuhusu wanaume ambao tunawaita senior bachelors ambao wengi tu siku hizi kuona ni issue! hata zamani walikuwepo!! embu andika tujue ujuzi wako kwa kuhusu wanaume maana its getting boring kusoma kila...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Afadhali, leo Mke wa Obama atapata haki yake ya Ndoa. .

    tena leo Michelle atafaidi sanaaa..........cha ushindi kinakuwaga kitamu.............:A S 39:
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hooooooodiiii!!!

    asante sana mkuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hooooooodiiii!!!

    nawapenda sana!!! mnanipa raha nyie...wallah ndio mana nikaamua kujiunga nanyi!!! mwanifungua akili etc etc etc!!! naombeki kukaribishwa....lakini kukaguliwa naogopa!!!! hodi!
Back
Top Bottom