Recent content by Ngho

  1. Ngho

    JamiiForums Tanzania Annua increment pdf

    Annual increments ni tuhela twa nyama kilo moja
  2. Ngho

    JamiiForums Tanzania Simba SC Wanakwama Wapi?

    Umenikumbusha bei ya Kambole, Bigilimana, Lomalisa na Kisinda wamenunuliwa kwa bei kubwaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Ngho

    JamiiForums Tanzania Sema tu Mzee Mtei umri umeenda ila ndiyo angefaa sana kuwa Gavana wa Benki Kuu kwa sasa!

    Kwani si ana watoto? Wapewe huo ugovernor
  4. Ngho

    JamiiForums Tanzania Madunduka FC

    Tuuheshimu mpira na matokeo yake, Sunche na Kapeto wote wametolewa. Na uhalali wa huu uzi upo? Period
  5. Ngho

    JamiiForums Tanzania Baraka Mpenja hawezi kumfikia Nazarethi Upete

    Gharibu Mzinga jamaa anaifanya assignment yake vizuri sana, anaupa matukio ya miaka iliyopita, história ya team na mchezaji mmoja mmoja. Bundesliga hana mpinzani kule na huku NPL ashaanza kuingia taratibu
  6. Ngho

    JamiiForums Tanzania Punguzeni threads juu ya Chama

    Tuwe na kumbukumbu
  7. Ngho

    JamiiForums Tanzania Leo ni Birthday ya jina mbumbumbu kwa Simba

    Ha ha ha
  8. Ngho

    JamiiForums Tanzania M-BET: Mdhamini pekee wa timu katika NBC PL mwenye furaha kuliko wote

    Walivyo na kelele unaweza sema wana team kumbe wapi, Simba kuna planners wazuri na wanafanikiwa... UTO hawana watu, wakaona bora wamchukue Ashura Cheupe awashauri [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ngho

    JamiiForums Tanzania Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Umezunguka sana ila kwenye hoja yangu ni kuwa Simba inakaribia 40ml not exactly, na hata unaposema vichaa nahisi ni wale alowajumuisha Ashura Cheupe kuondoa wale wazee wawili[emoji23][emoji23] Ila kusema wengine hawajui mambo ya simba na UTO sijui, maana karibia kila mTanzania anaijua...
  10. Ngho

    JamiiForums Tanzania Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Tegua mtego with facts mzee
  11. Ngho

    JamiiForums Tanzania Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Ashura Cheupe amewa-rank vizur Vihio nyie.
  12. Ngho

    JamiiForums Tanzania Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Code ngumu hizi mzee meza panaldo ulale
  13. Ngho

    JamiiForums Tanzania Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Numbers don't lie. Uwanjani hawajazi, kwa page zao hawapo wengi. UTO mpo wapi?
  14. Ngho

    JamiiForums Tanzania Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Baada ya kumsikia afisa Habari wa Yanga Ndg. Kamwe akitaja IDADI ya mashabiki wa team yake kuwa ni kama ml. 20, na takwimu zilizosomwa Leo na Mh. Rais Samia kuwa waTanzania tupo ml. 61, hii tafsiri yake kuwa Simba ina fans wanaokaribia mil. 40. Hii imechagizwa na idadi kubwa ya Watanzania...
  15. Ngho

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli hapoi?

    Kwa ndani kabisa, haya mambo ya Ukatoliki na Uislam tunashindwa kuwa na common say towards viongozi wetu. Wametugawa nasi tukawezekana. #UdiniUkristoVsUislam. Viongozi wote have got both strengths and weaknesses
Back
Top Bottom