Nimekusoma vizuri sana ndomaana nikakushangaa unataka utowe rushwa 5m uingie kwenye system alafu uwaumize wa Tz et 🤭🤭
Tamaa mbele mauti nyuma, jihadhari na hiyo hamu yako ya kuingia serikalini kwa 5m
Ungeweza kuomba connection bila kuahidi chochote ingekuwa bora zaidi msaada ungepatikana kwa...
Kama una elimu ya F6 bado uwezo wako wa kufikiri uko hivyo ni hatari sana 😂😂
F6 leaver huna skills yoyote umepambana umepata 5m unataka ukampe mtu akupe hata kazi ya udereva salary 300k🤭
Ikiwa akili yako iko hivyo chukua 600k soma driving, pata leseni class C nenda Halmashauri kajitolee...
"Damu ya ndg yako inanililia"
Shetani anafanya kazi na mtu yoyote anayeona anamfaa kwa wakati huo hivyo kabila, dini, elimu, hali ya kiuchumi ni njia tu za kutekeleza hitaji lake.
Asome Open University ili aendelee kujikimu na kuhudumia familia kupitia salary.
Mazingira ya nchi yetu siyo rafiki kwahiyo akiacha kazi kuipata tena ni mtihani akumbuke umri unasonga na watoto wanakuwa watahitaji elimu bora.
Kwa nature ya kesi yake na kwa mazingira haya ya kibongo isingekuwa ajabu kusikia mawakili wamejitoa hawataki kuendelea na hiyo keshi kwahiyo mtuhumiwa aliona mbali zaidi.
Anafanya kazi ngumu sana tena chini ya kibano kikubwa sana hata hivyo atabaki kuwa mtu shupavu na pekee ambaye anaweza kupigana vita ngumu na nzito akiwa pekeake
Haki inapaswa kutendwa kwa kuthamini utu wa watu siyo kuogopa mwisho!!!
Yeyote anayetoa haki anapaswa azingatie misingi ya HAKI siyo kuongozwa na hofu ya kesho.
Ingekuwa sawa kama angekuwa anatoa zote yeye mwenyewe kumbe anachangisha watu!!!
Vikundi vinafanya watu wanapata uroho wa kufanya shughuli ili wachangiwe kufidia fedha wanazochangia wenzao.
Ikiwa umeajiriwa fuata taratibu za kazi ikiwemo.....
Kuwasilisha kero kwa KATIBU/DMO/RMO
All in all endelea kujituma kazini ipo siku nao wataona haya😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.