Huyu nape kila ye ni kuharisha tu sijui hilo tumbo lake litafunga lini,many times anazungumza hovyo hovyo tu ila mwisho wake umeshawadia hata ubalozi wa nyumba kumi hata kaa upata
mfa maji haishi kutapatapa,ila kutapatapa huko waweza pona au kufa,ila Kampuni husika inakwenda ishilia pabaya sana latest news wamesha anza ajiri wafanya kazi wengine kama kwamba ilicho fanya Hamza a.k.a Mse....alivyo na akili za makalio hata hao anao waajiri hajui background zao kama Lightness...
Uongozi nao ni kipaji si mijitu mingine kisa ni pilot tu anapewa ubosi,Kijana kama Hamza a.k.a Mwapachu tena analiharibu sana jina na mzazi wake wa kiume,Hamza hana hata chembe ya uwezo wa kuwa kiongozi,ile dhana ya ile tabia ambayo inapingwa kanisani na misikitini sijui ndio imepunguza uuelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.