Umeshakuwa sodomized na ujinga wa ccm huwezi ona jema kwa Cdm. Kuuzwa na bandari, masai kuamishwa ngorongoro,uminywaji wa demokrasia,ukatili wa polisi, mambo maovu ya waisojulikana,matumiza mabaya ya mikopo ya serikali,gharama za maisha kupanda,mdororo wa nguvu ya shilling n.k ww huoni lolote et?