Recent content by Ngemera alistides

  1. N

    JamiiForums Tanzania Biashara: Ikitokea una manunuzi mengi kuliko mauzo

    Habari wakuu! Samahan Ikitokea una manunuzi mengi kuliko mauzo kuna changamoto gani unaweza kukutana nayo kama mfanyabishara?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mawakala wa San LG

    Mpya
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mawakala wa San LG

    Naomba mwenye anajua mawakala wa pikipiki aiba ya Sanlg na Sinoray anisaidie pls🙏🙏
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu na mfumo wa VAT anisaidie haya

    Nimepata kitu kikubwa🙏🙏
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu na mfumo wa VAT anisaidie haya

    Nashukuru sana. Je kwa mtu ambaye tayari kasajiriwa anawezaje kufile returns.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu na mfumo wa VAT anisaidie haya

    Ndo nilitaka nipate msaada wa maelezo jinsi ya kuwa regsted na jinsi ya kuutumia huu mfumo wa VAT.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu na mfumo wa VAT anisaidie haya

    Naomba kujua mwenye uzoefu na mfumo wa VAT namba ya kujisajiri na jinsi ya kuutumia mfumo. Msaada
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mauzo kwa Siku

    Wanikamue tena
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawasiliano ndio kigezo kikubwa kinachoonyesha kama kuna mapenzi au ndio yamejifia

    Sio kweli uwezi kumpima mpenzi wako kwa kuwasiliana na simu mara kwa mara apana na ninaevidence ya ili.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mauzo kwa Siku

    Kwa mfanya biashara ni lazma kila siku kutoa taarifa ya mauzo kwenye EFD Mashine? Ina umuhimu gani kwangu kama mfanyabiasha na inawasaidia nini TRA?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama kwenye ununuzi wa nyumba

    Asante sana
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama kwenye ununuzi wa nyumba

    Naomba kujua ukinunua nyumba, zile garama zinazotumika kuandaa nyaraka au kumlipa mwanasheria zinajumlishwa kwenye gharama za ununuzi au ni matumizi gani?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa links za kufanyia applications ya vyuo mbalimbali

    Tunashukuru Sana ingawa udom mfumo unasumbua but samahani Kuna vyuo ambavyo aplcation zake aulipii chochote ni bure Kama Kuna anayejua naomba aniwekee apa
Back
Top Bottom