Recent content by ngauyase

  1. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoto za mke wangu zote kwangu ni za kweli

    Ana majini huyo kwa hyo yanamuonyesha anaona kama movie vile. tafuta mchungaji apge neno yatoke la sivyo ubaki njia kuu[emoji23][emoji23]
  2. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife kanifuma nimo kwenye group za Malaya wanaojiuza Telegram. Wenye uzoefu jinsi ya kumaliza hii issue

    [emoji23][emoji23]kataa hyo sio sim yako. juzi kuna dem alifuata inbox huko twetter kanichatsha kama masaa mawili akanitumia link kilichonikuta account wamehack. sasa katika kumuelezea wife nikajichanganya kuna mtu alinitumia link inbox. ilkuwa msala ila account nilijaribu kuirudisha...
  3. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demu muuza genge ananipenda

    Wewe ni mwanaume au ni mtoto wa kiume
  4. ngauyase

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

    Mwanaume kaba tulikubaliana wanaume hamna kutoa siri za ndani.
  5. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ile siku sitoisahau kamwe

    Mkuu wanaume wengi wanatamani sana jinsia yao ibadilike iwe ke hata ukifuatlia pcha nyingi za kwenye mitandao za nusu uchi au uchi ni wanaume wanapost watumia id ya kike na dp wanaweka pcha ya kike. lakini huwezi kukuta mwanamke anajifanya mwanaume kwenye mitandao.
  6. ngauyase

    JamiiForums Tanzania New member

    alitaka tulifaham jina lake
  7. ngauyase

    JamiiForums Tanzania Faida za mbegu za kiume kwa mwanamke

    Mkuu ila sio mbegu za walevi. kama dada jamaa ako n mlevi huu ushauri achana nao utakuja kunishukuru.
  8. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kumuonesha Mwanamke Uume kama njia ya kumvuta kimapenzi ni sahihi?

    Mmh! hv kweli kuna mwanamke anaweza kukaa na kuanza kuchunguza kwenye zip kama pametuna.
  9. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    kikubwa mtoto apone kama bibi kakwambia wewe mtafute doc akupe dawa ya usingizi au ile wanayotumia vibaka kuibia mtaan mpulizie. mtoto apokee uponyaji maisha yaendelee.
  10. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msiwe mnaumizana bure bila sababu wakati wa kujamiiana

    hapa mkeka umechanika.
  11. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukataa mimba, kutelekeza watoto na kuwanyima huduma au kutowahudumia — wanaume mnakwama wapi?

    Wewe unadhani mwanaume anatelekeza mtoto kama tatizo halipo kwa mama. Kama tunaweza kulea watoto ambao sio wetu iweje tutelekeze watoto wetu. Matatizo mengi yameanzia kwa mwanamke. Hata kiimani tatizo lilianzia kwa mwanamke. Hawa
  12. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukataa mimba, kutelekeza watoto na kuwanyima huduma au kutowahudumia — wanaume mnakwama wapi?

    unatumia nguvu nyingi kuupinga ukweli ila tambua hamna mwanadam anayeweza kutambua moyo wa mwingne au kujua kle cha ndani. Maana kama uwezekano wa kuona ndani ya mioyo ungekuwepo haya tunayojadili hapa yasingekuwepo.
  13. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Adhabu gani inamfaa mwanamke huyu?

    Hongera kwa moyo wako mkuu ila usijilaum kwa msaada uliompa mwache aolewe na wewe endelea na mishe zako. usipokee malipo ya fadhila ulyotenda kwa ngono maana huo msaada wako utakuwa hauna dhamani. kaamua kuolewa mheshim mke wa mwenzio ili na wako aheshimiwe.
  14. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukataa mimba, kutelekeza watoto na kuwanyima huduma au kutowahudumia — wanaume mnakwama wapi?

    Mazingra ninayofanyia kazi hili swala huwa nakutana nalo sana wanawake wengi wanakuja na madai ya kutohudumiwa watoto lakini anapoitwa mwanaume mambo yanakuwa tofauti. Wanaume wengi wanaptia magum mengi kutoka kwa wenza wao lakini wanakaa kimya. Ushauri kwa wanaume wenzangu ukigombana na mke...
  15. ngauyase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada, ukitaka Wanaume handsome njoo Kusini/Masasi

    shukuru juhudi za mheshimiwa Rais hadi unatoa post za hivi
Back
Top Bottom