Recent content by ngasumtwi

  1. ngasumtwi

    Lijue soko la HISA

    Mada ya msingi imetuelimisha kuhusu Hisa. Kinachofuata wadau ukisikia tangazo jiulize maswali yote au machache kwa kufuata mifano aliyotoa ili ujiridhishe kuinunua Hisa husika. Angalizo aliyotoa litufungue ili tuweze kuona mwisho kutokea mwanzo vinginevyo utajiingiza kwenye mlango usiohusika.
  2. ngasumtwi

    Lijue soko la HISA

    Mkuu somo hili zuri sana, lina kila jibu la maswali yanayohisiana na Hisa na kadhalika. Nikuombe ushauri kwa watu kama mimi tuliowahi kununua Hisa za NICOL ambayo hatimaye imefutwa ama kujifuta kwenye soko la Hisa. Matarajio kutokana na uhamasishaji uliofanywa ndani ya nchi na nje kwenye Balozi...
  3. ngasumtwi

    Mashine za kukoboa mahindi na kusaga

    Naanza ku-search upya. Nashukuru mkuu
  4. ngasumtwi

    KAMPUNI YA NICOL IMEISHA WAPI??

    Mkuu, mara kadhaa nimesoma Mada kuhusu Hisa, na elimu ilitolewa ilinifikisha mahali pa kudhani kuwa nimepoteza. Kama yupo anayejua lolote kuhusu Kampuni hii anisaidie kwani nina Hisa zangu tangu miaka ya 2004/2005.
  5. ngasumtwi

    Mashine za kukoboa mahindi na kusaga

    Mkuu, uzi huu ulikohamishiwa sijapaona. Shida yangu nipate anuani ya mliko ili kama nikiweza nije nipate ushauri namna nitakavyotimiza ndoto yangu.
  6. ngasumtwi

    FASTJET: Mhe. Heche & Sakaya Someni hii mpate mwanga

    Asante Mkuu kwa ufafanuzi, kupanga kusafiri na fastjet libakie kuwa chaguo lako kwa aina ya safari yako.
  7. ngasumtwi

    Fastjet, mkiendelea na tabia hii, mtapoteza wateja

    Inasikitisha kusikia huduma hasi kwenye Kampuni iliyobeba nembo ya TZ. Hawa ATCL tunaoambiwa wako mbioni wayaangalie maoni ya WATEJA wasafiri wa mara kwa mara kwani watakapoingia wateja ndio hawa hawa.
  8. ngasumtwi

    Mashine za kukoboa mahindi na kusaga

    Tulipotea wengi, ngoja niende jukwaa la tech kama ulivyo shauri 1st day
  9. ngasumtwi

    Mashine za kukoboa mahindi na kusaga

    Mimi nahitaji ninahitaji anuani
Back
Top Bottom