Recent content by Ngarna

  1. N

    Juma Abdul aonyesha ubabe kwa Banda wa Simba

    Unategemea nini tofauti mkuu?Wengi wao hawajaenda kwenye kozi yeyote ya journalism. Hivyo hawajui ethics zake. Wao kazi yao kutumia kalamu kuuza magazeti yao ya udaku na blogg uchwara. Unaposomea journalism kuna kozi ya law.Katika mengi unayofundishwa ni innuendo,Pia eneo lingine lenye udhaifu...
  2. N

    Clouds na tabia ya kuisifu Yanga hata kama ni mbovu

    Kuna kombe la kununua magazeti?Hapo ndipo utajua uwezo wa hawa wachambuaji uchwara. Migongo wazi wanajulikana kwa kucheza mpira magazetini.
  3. N

    Clouds na tabia ya kuisifu Yanga hata kama ni mbovu

    Inaonyesha wapenzi wa migongo wazi wanapenda kucheza mpira magazetini. Kwani hata timu yao ni hivyo hivyo. Mpira mwingi magazetini. Wakifungwa kimya magazeti yanadoda. Na waandishi wengi wamegundua ulimbukeni huo wa "umemuona mkata umeme anaweza kupata namba pembeni ya Pogba". Nao wao bila aibu...
  4. N

    Mtazamo wangu kuhusu ushiriki wa Yanga kwenye Mapinduzi mpaka hapo ilipoishia

    Hamna lolote.Si ndio hao hao walioanzisha mada kuhusu udhaifu wa Simba na kiwango kushuka. Leo baada ya kupandishwa boti mapema wanaanza visingizio vya kitoto vya mazoezi eti bonanza kwani wamejua na akili kuwarudia baada ya kutolewa?Walienda Zanzibar kufanya nini?Kutalii?Walipomfunga Zimamoto...
  5. N

    Kombe la Mapinduzi: Hongereni watani, lakini haimaanishi ulikuwa bora zaidi yangu.

    Kwani anayekuwa mkiani ndio huwa anakuwa bingwa?Au dunia yako ipo up side down?Anayekuwa kileleni ndio bingwa.
  6. N

    Kombe la Mapinduzi: Hongereni watani, lakini haimaanishi ulikuwa bora zaidi yangu.

    Huyo pumba jazz band. Ni kifaa hasa. Ni mtambo wa haja haswa.
  7. N

    Ushauri: Lwandamila afukuzwe haraka sana Yanga

    Kwani umetukanwa?Ukiwa unaishi kwenye chumba cha vioo usirushe mawe. Mlipokuwa mnaizungumzia Simba ilikuwa sawa leo hata kutajwa Yanga imekuwa nongwa.
  8. N

    Ushauri: Lwandamila afukuzwe haraka sana Yanga

    Akili zimewarudia mlipokuwa mnaizungumzia Simba na kiwango chake ilikuwa haluwa mara imegeuka shubiri. Uko kwenye chumba cha vioo unarusha mawe ndio matokeo yake hayo.
  9. N

    Kuelekea Nusu Fainali Mapinduzi Cup: A Be Che za Simba na Yanga

    Wamebaki kuwa makozimeni. Mpira umewashinda. Wapo gatini wanapanda boti kinyonge.
  10. N

    Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

    Wanzazibari wanamaneno wanasema Yanga Afirika.
  11. N

    Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

    Mkuu Freeland kwa akili ipi binti huyo wa masama analalama ni akili ya mbege au kisusio?Au aliona ikiingia?Muulize vizuri.
  12. N

    Natangaza rasmi kuihama Yanga

    Huko kusini mwa Tanzania wanasema "chuma chikoli moto "kwa mujibu wa mtangazaji wa Azam TV. Jiji kimyaaa migongo wazi hoiiiii.
  13. N

    Kombe la Mapinduzi: Hongereni watani, lakini haimaanishi ulikuwa bora zaidi yangu.

    Aliyekubaka humjui basi utakuwa sugu weye.Ndio maana umezoeleka umekuwa jamvi la kila mtu.
  14. N

    Kombe la Mapinduzi: Hongereni watani, lakini haimaanishi ulikuwa bora zaidi yangu.

    Mfungwa hachagui jela wala adhabu. Anangojea hukumu akipewa anakwenda alikopangiwa. Umepangiwa kuwahi boti. Mmekimbia mpaka interview. Jifariji.
  15. N

    Kombe la Mapinduzi: Hongereni watani, lakini haimaanishi ulikuwa bora zaidi yangu.

    Safari hii mpo kundi moja na Zimamoto.
Back
Top Bottom