Clouds na tabia ya kuisifu Yanga hata kama ni mbovu

Wanazingua sana clouds,,kama kipind chao cha michezo leo badala ya kuchambua mchezo ulikuwaje ndani ya pitch wao wanachambua nje ya pitch jinsi magazeti yanavyouzika,,,,ilitakiwa kama wao ni wana habar za sport waelezee mchezo ulikuwaje katka pitch,ila cmba angekuwa kafungwa ungeckia sasa uchambuz wao mara cmba hawana streka,mara beki za cmba zilikatka,mara kipa wa cmba galasa,mara kichuya hakuonyesha makali yake,,,,,
 
Kiukweli magazet yanauza siku yanga ikishinda , hii ipo waz fanya utafiti, pia, hii inaonesha yanga ina mashabiki wengi kuliko simba
Inaonyesha wapenzi wa migongo wazi wanapenda kucheza mpira magazetini. Kwani hata timu yao ni hivyo hivyo. Mpira mwingi magazetini. Wakifungwa kimya magazeti yanadoda. Na waandishi wengi wamegundua ulimbukeni huo wa "umemuona mkata umeme anaweza kupata namba pembeni ya Pogba".
Nao wao bila aibu wanaamini.
Na waandishi nao mkono unakwenda kinywani kwa ulimbukeni wa migongo wazi.
 
Nimesikiliza kipindi cha sports extra leo kilijaa unafiki mtupu. Hoja kubwa kwanini magazeti hayauziki baada ya mechi ya jana ya Simba na Yanga ni kutokana na mechi kuonyeshwa live kupitia Azam. So watu hawana jipya la kwenda kusoma kwenye magazeti.

Hizi sababu za ubahili wa washabiki wa Simba ni propaganda tu hazina ukweli wowote
 
Kuna kombe la kununua magazeti?Hapo ndipo utajua uwezo wa hawa wachambuaji uchwara. Migongo wazi wanajulikana kwa kucheza mpira magazetini.
 
Wanazingua sana clouds,,kama kipind chao cha michezo leo badala ya kuchambua mchezo ulikuwaje ndani ya pitch wao wanachambua nje ya pitch jinsi magazeti yanavyouzika,,,,ilitakiwa kama wao ni wana habar za sport waelezee mchezo ulikuwaje katka pitch,ila cmba angekuwa kafungwa ungeckia sasa uchambuz wao mara cmba hawana streka,mara beki za cmba zilikatka,mara kipa wa cmba galasa,mara kichuya hakuonyesha makali yake,,,,,
Cmba ni timu gani mkuu?ligi kuu hakuna timu inaitwa jina hilo mkuu.
 
Nimesikiliza kipindi cha sports extra leo kilijaa unafiki mtupu. Hoja kubwa kwanini magazeti hayauziki baada ya mechi ya jana ya Simba na Yanga ni kutokana na mechi kuonyeshwa live kupitia Azam. So watu hawana jipya la kwenda kusoma kwenye magazeti.

Hizi sababu za ubahili wa washabiki wa Simba ni propaganda tu hazina ukweli wowote
By the way ninunue gazeti hard copy LA nini??
Ni mwaka wa sita huu sinunui uchafu unaoitwa magazeti ya Tanzania!

Wanaonunua magazeti hard copy wengi ni wavuta sigara na bangi na WENGi Ni mikodisho fc,
 
Kuna kombe la kununua magazeti?Hapo ndipo utajua uwezo wa hawa wachambuaji uchwara. Migongo wazi wanajulikana kwa kucheza mpira magazetini.
Hao watangazaji Kama wana biashara za kuuza magazeti waseme tu wanapigia promo biashara zao sio kutuletea ujinga wao!

Magazeti ninunue ya kazi gani?? Sisi sio wauza vitumbua Kama hawa vyura
 
Back
Top Bottom