mbona akina mwampamba,shonza walisema hivyohivyo kwenye majukwaa hata kwenye vyombo vya habari!
sasa hivi wako wapi,watu wapaswa kufahamu kuwa kupenda chama ni imani!
hivi ni kundi gani kubwa la vijana na wazee linalomuunga mkono zito?labda kanda ya magharibi,kanda ya nyanda za
juu(mbeya,rukwa,iringa),kusini.mashariki.etc hakuna kitu kama zito!pole sana mtoa mada ,anzisha mada nyingine
hii haiwezi kushika maji!
kila mmoja anauhuru wa kutoa mawazo yake!angalia usije ukadhani umesimama kumbe tayari umeanguka,sio kila wakati
historio ni rejeo ya mambo yaliytopita
kumbe maccm wengi mnakurupuka au uelewa wenu ni mdogo!tafsiri ya ndani ya bunge inamaanisha ndani ya
jengo lenyewe,viunga vya bunge,barabara za ndani ya viunga vya bunge kwa ujumla kuzunguka jengo zima la
bunge!
inakuwaje cdm wavuruge katiba wakati ndiyo vinara wa kutaka katiba mpya!ama kweli muda wa kudanganya
sio huu,labda nape aliangalia hadhira aliokuwa anahutubia,siamini kauli kama hii anaweza kuitoa kwa watu wan
aoelewa!zama za kudanganya zilishapitwa na wakati.
mbinu kama hiyo waliitumia hata mbeya alipokuja mwenyekiti wa umoja wa wazazi taifa wakawakokota watu waliochoka na kuwapa sh 10000 na kadi feki wakatangaza wameibomoa mbeya!bada ya dakika chache wale jamaa wakatoa siri.hakika ccm wamekwisha!
asilimia kubwa ya wabunge wa ccm wanamini kuwa wananchi wengi hawajui kinacho endelea ndani ya nchi yao!
wanafikiri ni walewale wa 1947,wakati wengi wao tunafahamu hata upeo wao wa kifikra tangu wakiwa shuleni,
naamini wakati utawaumbua!wajue watanzania wengi mijini na vijijini kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.