Recent content by ngamba 99

  1. ngamba 99

    Maxence Melo ashtakiwa kwa makosa 3, likiwemo la Kumiliki Tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania

    Natumai sasa mahakama zote zitajaa washitakiwa wa makosa ya kimtandao
  2. ngamba 99

    Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

    Unacho kizungumza ni kweli kabisa brother tumebaki kutawaliwa kifikra na hizi tamaduni za kigeni,ni aina nyingine ya ukoloni
  3. ngamba 99

    ITV Wamekaushia Press Ya Lissu,Kesi ya CUF na Ya Lema

    Kaka vyombo vya habari vya hapa ni majanga matupu angalau jamii forum waweza pata hata makombo ya habari
  4. ngamba 99

    Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

    Kwa akili uliyokuwa nayo naomba tu nikupe pole
  5. ngamba 99

    Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

    Mgogolo wa palestina na Israel umeigawa dunia Kwa misingi mikuu miwili (2) Yaani ukristu na uislam , kuna wa Kristo wa naamini kabisa kuwa wanacho fanya wa Israel ni mpango wa mungu moja Kwa moja na wana amini Israel haiwezi kufanya makosa, kadhalika waislam nao wa naamini kabisa kuwa wanacho...
  6. ngamba 99

    Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

    Check out @PressTV's Tweet:
  7. ngamba 99

    Face Reader - An interesting Android Application for Face Reading...!

    Face Reading Guide - Android Apps on Google Play
  8. ngamba 99

    Wakili Albert Msando wa ACT kuwatetea akina Lipumba

    Akili hawana vilaza hao
  9. ngamba 99

    Wadhamini wa CUF Wamkataa Jaji Kihiyo Mahakama Kuu

    Punguza unyumbu mkuu
  10. ngamba 99

    Moses Machali aamua kurejea CCM. Adai CCM ya Magufuli si CCM ya zamani!

    Kwa hali hii sitaki kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa katika nchi hii
  11. ngamba 99

    Naomba mwenye CV ya Afande Sele

    Google cv afande
  12. ngamba 99

    Funzo kutoka kwa afande sele

    Hii sio Siri ,suala la kusema act tawi ccm sio siri, kuambiwa amshabulie rowassa, chama hakieleweki, kimekosa dira ni aina furani ya malalamiko.
  13. ngamba 99

    Funzo kutoka kwa afande sele

    Mkuu nimefanya malekebisho
  14. ngamba 99

    Funzo kutoka kwa afande sele

    Akiwa cuf aliwaponda sana cdm pamoja na ccm kuwa ni vyama vya kibaguzi ,cdm ni ccm b mala oh cdm wanaukabila,wabaguzi ,muda kidogo akajenga urafiki na baadhi ya viongozi wa cdm mambo wakawa kimyaa!!!,mgogolo wa vingozi ndani ya cdm ulio sababisha baadhi ya viongozi kujiengua na kujiunga na chama...
  15. ngamba 99

    Kingunge: Bila tume huru, wapinzani wasahau kuingia Ikulu

    Kaka usitoe povu bure mawaziri wakuu wa ccm wanaweza kudai tume huru kweli?! Haiwezekani kujichoma kisu mwenyewe hawa sio wapinzani ,niwapika matukio wakati cuf wanashughulikia tukio la p.lipumba kumeondoa uenyekiti CDM nao wanashughulikia tukio la lema mahakani,hapo tume itaijia wapi
Back
Top Bottom