Recent content by Ngallu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote hapa kuhusu vingamuzi au dishi

    Mkuu naomba kuelekezwa namba ya kuset dish la azam lililopeteza uelekeo.Intensity 16 na quality 0.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kurekebisha frequency kwenye dish la Azam tv

    Naomba kuelekezwa namna ya kurekebisha frequency kwenye dish la azam tv ambalo limepoteza uelekeo kabisa.Mimi nipo kijijini kiasi kwamba kumpata fundi italuwa taabu.Decorder inasoma intensity 16 na quality 0.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Patrol Bei Poa

    Niuzie hiyo gari itanifaa sana huku mikoani
  4. N

    JamiiForums Tanzania wakala wa vitabu

    Nahitaji wakala wa kuuza vitabu mkoa wa Mwanza na Arusha.Kwa sasa nina vitabu aina mbili ambavyo ni Mwandae mtoto kufikia malengo yake na Tanzania mikononi mwa Mungu.Karibuni
  5. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Hapana. JK ana uzoefu wa kuwatosa watu wanaojipendekeza.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa (Toshiba sattelite 2gb ram, Hdd 500gb 2.16ghz )

    Upo maeneo gani?nina kilo 3 na nusu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimeoa, mke wangu amekuwa jeuri na kiburi mpaka nachanganyikiwa; natamani kuvunja ndoa!

    Pole sana kwa yanayokusibu.Binafsi pia mke wangu pia amekuwa akinisumbua sana,nimefanya kila njia kumrekebisha bila mafanikio.Nimekaa muda mrefu nikifanya uchunguzi nikabaini ni rafiki na ndugu zake ndio wanaoharibu ndoa yetu kwani wengi wao hawana waume.Nakushauri usimwache mkeo komaa wanawake...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji huu kwa ma house girl haufai

    Nani kasema mahouse girl ndio wenye mapepo?Wadau hii ni live bila chenga.mapepo hayakutoka kwani binti huyo hakuwa na mapepo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji huu kwa ma house girl haufai

    Nilishuhudia kitendo cha kinyama kwa binti mmoja aliyefiwa na baba na kuamua kutafuta kazi za ndani ili amsaidie mama yake aliyekuwa na kipato duni.Yaliyomkuta ni fedheha kwani familia ilijenga hoja kuwa ana mashetani ndio maana mtoto ameshindwa kumzoea.wakachukua uamuzi wa kumwombea kwa nguvu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Cheza bila kukunja goti…! (ukivua nami’n’tavua)

    Masikini Momma.
Back
Top Bottom