Recent content by ngalala

  1. ngalala

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Halafu wanasema issue hii sio ya kutangaza sijui kwanini! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ngalala

    Watanzania acheni kupotoshwa, mtz anayejua Kiingereza ameelimika kuliko asiyejua

    Natamani watoto wangu wafundiswe Kinyalu maana hakiwapi shida
  3. ngalala

    Watanzania acheni kupotoshwa, mtz anayejua Kiingereza ameelimika kuliko asiyejua

    Mjadala sio ukubwa wa IQ kwani IQ unazaliwa NATO hapa hoja kwetu sisi hapa lugha gani muhimu kukupa urahisi was kupata maarifa? Mambo mengi muhimu utayapata katika Kingereza kuliko kiswahili hivyo bado kingereza inatakiwa itiliwe mkazo zaidi.Kiswahili kina upungufu mkubwa wa maneno ya kisayansi.
  4. ngalala

    Viongozi wa Zanzibar kumkejeli Prof. Kabudi ni kujidhalilisha

    Narudia tena kusoma ulichoandika maana sijui ulitaka kueleza nini!
  5. ngalala

    RC Rukwa: Mwanafunzi atakayepata mimba na mzazi wawekwe ndani saa 48

    Kuanzia sasa nitakuwa nampeleka binti yangu shule halafu nakaa nje kumsubiri akitoka darasani turudi Nyumbani! Akitaka kwenda choo naingia kwanza kukagua usalama Ndio nimruhusu aingie
  6. ngalala

    Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 inaongoza kufungia magazeti

    Nitarudi badae ngoja nipate dinner
  7. ngalala

    Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Get well soon Tundu Lisu! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ngalala

    Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Bado upo dunia ya imani za kishirikina ? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ngalala

    Huu mtindo wa waziri mkuu kuiagiza TAKUKURU kumkamata mtu sio sawa

    Unadhani watapelekwa mahakamani bila ushahidi? Uchunguzi ni lazima utafanyika, ushauri ni uchunguzi utangulie kutaja majina kufuate baada ya uchunguzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ngalala

    Huu mtindo wa waziri mkuu kuiagiza TAKUKURU kumkamata mtu sio sawa

    Angeweza kuagiza TAKUKURU ifanye uchunguzi watakao bainika kuhusika ndio watangazwe na kufikishwa mbele ya sheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ngalala

    Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

    Hiyo research yako ilihusisha wanaume wangapi huku mtaani kwetu wanaamini weusi wanakajoto poa na weupe cold blooded!! [emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ngalala

    Hivi ni kweli kwamba Wananchi huwa wanusimamisha Msafara wa Rais barabarani?

    Waliandaliwa!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ngalala

    Hivi ni kweli kwamba Wananchi huwa wanusimamisha Msafara wa Rais barabarani?

    You have made my day!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom