Recent content by Ngakayu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Kuongea na waandishi wa habari Ikulu, Dar Es Salaam

    Umeambiwa tbc1.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Magufuli unaweza kumtikisa Barrick (ACACIA) kiasi hiki!!

    Safi sana.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msukuma: Rais Magufuli apige marufuku mikutano ya vyama vya siasa hadi 2019

    Darasa la saba huyo hawezi akafanya analysis.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Naziona takataka mwanza jiji barabara ya pamba zimewekwa pembeni bado hazijazolewa kupelekwa kwenye collection point!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Utoaji wa elimu ni huduma. Walishaambiwa wanapopandisha ada wawe nakibali cha kamishina wa elimu, lakini hawafanyi hivyo! na ada zao hazilingani kila mwenye shule akijisikia anapandisha ada! lazima mpewe ada elekezi mlizidi mno!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Elimu bure kuanzia Primary hadi University, Je HESLB ifutwe?

    Mbona Gadafi aliweza hata Nyelele aliweza, ni uamzi tu pesa ipo huliwa na mafisadi.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Kenya walimweka uhuru kenyata na alikuwa mtuhumiwa wa icc ugopa mabadiliko huwa hayazuiliwi baba! Haijalishi uwe msomi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mali alizochukua Mkapa na familia yake

    Uhuru Kinyatta alikuwa na kesi ICC Wakenya walimpa Uraisi (Lowasa kama ni fisadi tunampa kura zetu tunahitaji mabadiliko)
  9. N

    JamiiForums Tanzania Takwimu zinavyoikaanga CCM uchaguzi 2015

    Kazi ipo ccm wajiandae kuondoka.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Namuona Magufuli ameshakubali kushindwa

    Mafisadi asiliya yao ni chama gani? ukawa hawapo ndugu yangu, wameshasafishwa.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Fredrick Sumaye "nyota wa mchezo"

    Yangu macho, msema kweli mpenzi wa Mungu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete wakati mwingine kunyamaza ni hekima kubwa sana

    Mungu akubariki kwa kuwa mkweli bro.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Nape Jimbo la Mtama Selemani Mathew Luwongo, ahamia CHADEMA

    Wataishia ukawa wana ccm!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ukomavu mkubwa wa kisiasa CHADEMA

    Wanasema CCM tunapokwenda kwenye mikutano ya ukawa tumepema hela! huo ni uongo.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi Nyumba imeungua Geita.

    Nasikia kuna nyumba imeungua Geita mtaa wa Nyankumbu usiku wa leo na watoto 3 kufia kwenye nyumba na mmoja kafia baada ya kufika hospitalini! Mlioko Geita tupeni taarifa.
Back
Top Bottom