Recent content by ngajapo

  1. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

    Kuna ugumu Fulani kwa Iran ya ku-unblock kama ilivyo ngumu kwa marekani..yaku-unblock Hormuz hapo wote Iran na marekani wanna nguvu za kutosha kumzuia mwingine endapo tu mmoja wapo kamtangulia mwenzie kusimika mahali.....Kwa hiyo mwenye kusafa hapo ni marekani ambaye ametuaminisha Dunia nzima...
  2. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Comebacks 5 za kibabe zaidi kwenye soka la kisasa kuwahi kutokea

    Camelback ya simba vs mfulila wonderers match ilipigwa dar simba Akala nyingi ilipofika Zambia mfulila Akala nyingi zaidi
  3. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel ashtushwa sana na jaribio la kumuua Rais Trump, amshukuru Mungu kuwa Trump na mkewe wako salama

    Netanyahu ashukuru sana tena sana...ingetokea trump kadead angeona Dunia chungu maana angekuwa amepoteza mtu muhimu wa kumuwezesha kwenye siasa zake za kiharamia anzozifanya mashabiki ya kati....Kwa maana kungekuwa na uwezekano wa kutokea ceasefire ya kudumu huko mashariki ya kati ... Na...
  4. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Matokeo Ubaoni Vita ya Iran Vs Israel

    Hujua hata vita vinavyoendelea vinahusisha mataifa yapi....umeamua kupachika tu Uzi ili upate wachangiaji.then moyo wako ufurahi........ Inshort ni kwamba hivyo vita ni vya USA na Iran -Israel ni kama kipapatio tu kinachojitutumua ili nao waonekane walipigania maskah yao na wakashinda...
  5. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupigwa 6-0 na Yanga, Mbeya City yamtimua na Kocha Mexime na Wasaidizi wake

    Afadhali waondoke wametudhalilisha sana wana mbeya...timu wameiacha kwenye nafasi mbaya sana...acha waende tu hawafai kabisa
  6. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Yaani kiini cha hoja hii Bado hujakielewa.... Fuatilia vizuri Uzi ulikotokea mpaka na mimi nikaamua kuchangia... Siichukii Iran kama unavyoniaminisha.... .Iran..Russia. north Korea, china ndo mataifa ninayoyakubali zaidi na sio westerns....Iran inaweza kuwa ilistarabika zamani sana lakn haiondoi...
  7. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Kuna kitu hujui kuhusu north Korea na iran....ni kwamba tech nyingi za missiles za Iran kapenyezewa na north Korea ingawa nyuma yake kuna Russia.... Russia huwa haonekani Moja Kwa Moja kumsaidia Iran kutokana na mikataba Fulani waliyofunga super powers ya kutosambaza technologia ya siraha nzito...
  8. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Sio kwamba Russia amefail Kwa kutowashambulia wasaidizi wa ukrain ...ila ni kwamba kila vita Ina mikakati na mbinu zake... Wanaomsupport ukrain ambao ni EU nao wanalia wanaumia sana bajeti zao za kijeshi zimetumika sana dhidi ya urusi kiasi kwamba hawawezi hata kwenda kumsaidia ndugu Yao Amerika
  9. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Yaani Russia akajifunze Kwa Irani wakati Russia ndie mwalimu wa Iran....hujui kwamba kiburi cha Iran kinatokana na Russia na north Korea
  10. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Kama Kuna mtu bado anaiamini Serikali ya sasa ya marekani hasa Donald Trump atakuwa mwendawazimu. Imekithiri kwa uongo

    Marubani wenyewe Bado hawajaokolewa ni propaganda tu!
  11. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Simba wana TFF Yanga wana Mungu, wote sare

    Sema yanga wana bodi ya ligi
  12. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Hizi breaking news za waarabu wa Mbwinde kwamba Netanyahu kauawa, source yake ni wapi ?

    Kafia ujerumani aliko kimbilia Kwa ajili ya matibabu...supa powa wanajipanga jinsi ya kutangaza kifo chake
  13. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Duh, Waisraeli ni watu wenye akili sana – Tazama mahali wanapojificha wakati wa vita. Ni raha tupu!

    Hizo ni propaganda tu! Za watu wa magharibi ...Kama alishinda ndani ya siku sita mbona Hamasi kamtoa kamasi hadi leo Bado Israel hajaseto kabisa...
  14. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Majumba marefu huko Gaza yanaporomoshwa na nashambulizi ya IDF!!

    Mmmh!! Aisee...balaa hili
  15. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Kwa karipio hili la Misri ni dhahiri hali si shwari tena kwa Israel

    Angetamka Irani tungesema naam sasa kuna jambo linaenda kutokea!! Lkn si Hawa mabalazi aka vibaraka wa magharibi
Back
Top Bottom