ROHO=UHAI
Kiumbe chochote tukisema kipo hai bas kina roho
Na kiumbe kinapokufa roho/uhai huacha mwili
Na baada ya hapo ROHO hiyo huwa mizim,mizuka ngolobelo ama ngurubi kulingana tu roho hiyo imerecord mambo gan kwa kiumbe husika iwe ni mema au mabaya na mazuri
Hapa chini kuna mchanganuo wa ROHO...
Kifo co uthibitisho wq kuwepo kwa Mungu ni kweli kabisa
Maan kila kiumbe kina kufa
Hivo kifo ni pitio la kiumbe chochote haijarishi kinajua au hakijui mungu
Mbingu zipo
Ila shida ni mafunzo ya mbingu hzo yanayotolewa na waja hao
Ni kweli kabsa hakuna hajq ya kuwapo duniani ili hali mbinguni kuna kila kitu pamoja na hazina zote
Kila viumbe wameumbwa kwa mahala pake walipo na hakuna kiumbe kinaweza ishi maisha yote sehem ambapo co chimbuko lao ila...
Kumbuka kuna maagano ya ukoo ya vizazi vilivofanya wew kuwa hapo ulipo hivo c jambo rahic kukwepa viapo hivo na wala havitoki kwa maombi ila kiasili kama vilivowekwa ndivo vinavotolewa
Hvo kuandamwa na mambo yaliyoapwa na waliokutangulia ni jambo rahic tu na ni pocble 100%
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.