wewe jamaa yangu acha kukalilishwa kipindi Msingwa anaisema hiyo kauri ya kwamba watakao mchagua lowasa wakapimwe akili kichwa chake kilikuwakimekatwa!!!?
wizi unaousema ktk wizara ya ujenzi walikuwa wapi kuusema wakati walikuepo wamesubili uchaguzi ndoo wana zusha vitu ambaya havipo C.A.G...
Watanzania tusikubali kuimbishwa wimbo ambao hatujui mtunzi wake alikuwa na masilahi gani na huo wimbo,Utamsikia kijana anaimbishwa "Lowasa na yeye anaitikia Mabadiliko"wewe unayajua mabadiliko anayo yasema Lowasa!!!?
umeona eeee!!!! singidadodoma, Tatizo watanzania wengi ni wavivu hututaki kufanya kazi ila tunataka maendeleo,Maendeleo gani yatakuja bila kufanya kazi?Maendeleo ya kweli yataletwa na watanzania kwa kufanya kazi kwa bidii!!! na si maneno tuuu halafu umekaa kijiweni!!
Mhmh ama kweli watanzania vichwa maji kabisa yaani leo hii tumesha sahau yale yote Lowasa alitufanyia na tunataka kumpa inch!!!!?
Tunahitaji Dr mara moja ama tupelekwe Milembe!!
Maamzi yafanywayo na mtu mwenyehekima siku zote huonekana Hazarani na hahitaji kutumia nguvu nyingi kuyaeleza maana yanajieleze menyewe,jiulize je unatumia Hekima kufanya maamzi!!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.