Recent content by neychad8

  1. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Brother kaongeza mke wa pili, nimefurahi sana

    Wew na kaka yako wote mnashida ya akili
  2. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli

    Km huombi pesa ndio unakua na mapenzi ya kweli????nauliza
  3. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pitia hapa utathimini kama Mwanamke wako au Mkeo anataka/keshaanza kukusaliti!!

    Utachelewa sanaa
  4. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya uzi wangu wa kutafuta mchumba (mke) niliowahi post

    M Mtuache wakinga jmn..tuko busy kutafuta pesa
  5. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuishinda nguvu ya mauti uliposalitiwa na mpenzi wako

    Ukubali ukweli kua yamepita na sio wako tena..kubali ilikua ni njia ya wew kupita,umejifunza tyr aliyokufundisha na maisha lzm yaendelee..fikiria vitu vinavyokuhitaji ufanye na maisha uliyotamani kuishi bado yanakusubiri.
  6. neychad8

    JamiiForums Tanzania Wanawake siku hizi mnajipaka nini husoni uso unakuwa kama yai? Au kama unataka kumwagika?

    Nilitak nikanunue mngesubiri ni glow na mimi ndio mseme🤣
  7. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume yupi ukiolewa nae utaenjoi sana ndoa?

    Olewa na anayekupenda wew sanaa kuliko wew unavyompenda
  8. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yalikufanyia nini hadi ukayaona hayana maana?

    🤣🤣shafii dauda
  9. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

    Kwa maan hiyo kunaanzia 35 years????
  10. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

    Mmmh inaweza kua ni sawa..mawazo yako hayo
  11. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kununua dada poa ili kuiponya nafsi yangu

    Wanawake wengi wa 25-30ndio wanatak ndoa,ukidate na chini ya hapo wengi wao wanajiona bado wana mda wa kuenjoy..punguza vigezo vingi pia ooh
  12. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

    Kuchelewa kuolewa na kuoa kunaanzia miaka mingapi kwan?????
  13. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kununua dada poa ili kuiponya nafsi yangu

    Ukitumia madawa ..utapauka yaan utazeeka kabla ya umri wako kuna %kubwa utapata HIV na TB,kuna uwezo mkubwa wa figo kufeli yaaan kiufupi utapotee mapema...ushauri jaribu kujichanganya na watu nenda sehemu mbali mbali utapata tu..kuna wanawake wengi wanatak ndoa mbn
  14. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninampenda sitaki kumpoteza kwani tumeshafanya mambo mengi

    C Copy copy over🤣
  15. neychad8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri ya kuolewa na kudumu kwenye ndoa

    🤝🤝
Back
Top Bottom