Mabadiliko ni muhimu,lakini si kwa watu walewale waliotoka ccm,sura zilezile za ccm,maana yake na akili zitakuwa zilezile,yaani itakuwa ni kubadilisha jina la chama lakini watendaji ni walewale,kama watanzania tunataka mabadiliko ya kweli basi mleteni dr slaa,lakini sio Lowasa mseme mnataka...
chadema wanakula matapishi yao wenyewe,walizunguka nchi nzima na kutuaminisha kwamba Lowasa ni fisadi,sasa leo polepole anaongea basi amepokea hela,ukweli unauma siku zote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.