Recent content by Ney maa

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi upofu! mapenzi ni zaidi ya uyajuavyo! kuzaa nje ya ndoa kitu gani?

    Dah umenena bt wanaume 2 much wanazaa watoto wengi nje na c rahsi kujua coz c hawabebi mimba?acheni jamani hyo ni laana coz watoto wanateseka we umeka na wengine hom eti, mwanangu nikununulie nn, wakati wale wa kule hawana fursa ya kukuskia wale sio wanao 2jirekebishe!
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za maisha

    Jamani ni hv, nina mpenzi wangu ambae anaishi maeneo ambayo wa2 wanapachukulia kama pabaya means social cervices hazipatikan ss marafiki ninaoish nao kila lililobaya wanaelekezea huko mara oh mimi kama mm siwezi ishi huko. Sio kwamb wananambia ila wanasema ktk story zao na mengine mengi ila...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwana JF gani anakufurahisha na thread zake humu jukwaani

    2fanyeje ili masengenyo yaishe coz masengenyo yameleta madhara sawa na ilivyo kuzini-HIV
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ni bikra lakini

    Mimi na mpenzi wangu tunapendana sana na ananitaka tufanye mapenzi na mi sitaki mpaka tuoane, nifanyeje? ushauri jamani.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa na mpenzi unaruhusiwa ufikishapo miaka mingapi

    subiri miaka 50 Mungu hapendi
  6. N

    JamiiForums Tanzania kwa wanawake wenzangu naomba mnijibu swali hili

    Thanks Ngomakipindi wa2 kama nyie ndo nawapenda huku JF wengine kila ki2 wanajibu wanavojiskia 2badilike 2fanye mzaha penye mzaha
  7. N

    JamiiForums Tanzania kwa wanawake wenzangu naomba mnijibu swali hili

    we Tovigale nataka nibebe mimba ntatumiaje condom?
  8. N

    JamiiForums Tanzania kwa wanawake wenzangu naomba mnijibu swali hili

    kama m2 umeanza kupata siku zako tarehe moja? siku za kupata mimba ni zipi?:A S 2152:
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

    hivi kutumia vidonge vya kupanga uzazi vina madhara gani vikitumiwa kabla ya kuzaa?
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania haniamin coz nimepangiwa mwanza kikaz!

    hakuamini take care
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwa wanaume wenzangu mnaoambiwa I LOVE YOU TOO

    I love you too all me wa jf!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wana jf mnayoyasema na michango mnayoitoa ndivyo mlivyo au tunadanganyana??

    amenibadilisha kweli sio siri badae ntarudi na ushuhuda kwa wana jf
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wana jf mnayoyasema na michango mnayoitoa ndivyo mlivyo au tunadanganyana??

    choo cha kiume ndo chanihusu au wataka niingie cha kike????????????//
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wana jf mnayoyasema na michango mnayoitoa ndivyo mlivyo au tunadanganyana??

    naskuru king kong iii kwa maombez yako jf kuna faida sana
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwa wanaume wenzangu mnaoambiwa I LOVE YOU TOO

    wambieeeeee................................
Back
Top Bottom