Mashamba yanapatikana mkoa wa Pwani unaingilia Kongowe upande wa kusho toka Dar.Umbali toka Morogoro road ni km 10 na 12 kwa sababu yako maeneo tofauti.
Bei kukodi kwa heka iko kati ya 50,000 na 100000 kutegemea na eneo na ukaribu wa vyanzo vya maji.
Bei kununua inaanzia laki 9(900,000)...
Tenda zikitolewa kwa wageni malalamiko lukuki basi tukipewa sisi napo shida tupu.
Mungu atusaidie kwakweli tubadilike tunalaumu makocha lakini na sisi wachezaji hatujitumi...
Sasa wewe huoni itazidi kusaidia kushusha gharama kwetu watumiaji pia kwa miradi hiyo miwili tu tunakuwa na MW 2700 ukijumlisha na tulionao mpaka tutakuwa na MW karibu 4000 kitu ambacho muda huo hata tukiota Tanzania ya Viwanda tutakuwa sahihi zaidi maana bila kuwa na umeme wa uhakika na kutosha...
Mkuu kuna vitu kadhaa naona kama vimepungua kwenye bandiko:
1 Mawasiliano
2 location
3 Bei ya tray
4 Aina gani ya mayai
Vitu hivyo vikiwa wazi vitarahisisha sana zoezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.