Recent content by Next King

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

    NAJITAHIDI SANA KUHUSU NIDHAMU YA FEDHA AISEEE ! YAANI NAANGALIA MIAKA 20 IJAYO NA SIO KUDANGANYWA NA VITOTO VYA 2000 ETI NIHONGEEE ! NIPO VERY FOCUSED!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

    Ikiwezekana sio mjengo tu bali apartments several units kwa ajili ya kupangisha and it pays a lot. Kuweka akiba ya fedha benk badala ya kuwekeza huku ni kujichelewesha sana
  3. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

    Upo sahihi sana na pia wanawake wana wabrain wash ili aonekane mwanaume bora basi anaambiwa lazima ahongeee kumbe hapo ndio wanampoteza
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

    Mimi matumizi yangu ni 1 Million tu no matter what but 3/4 lazima iingie kwa investment for future. But kwa watoto wa 2000 hii kanuni ni ngumu wao kuitumia kwa sababu ya vitoto vya kike na ulabu ambao hauna shukrani
  5. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pongezi Serikali kudhibiti maandamano, ila msibweteke! Panapo fuka moshi, chini kuna moto. Gen Z wetu wana hoja, wasikilizwe!

    Hili lijamaq ni lijinga sana , yaani ni Wale watu wanaojifanya wamesoma na waelevu lakini ni wajinga na ni empty set kichwani. Mara ya kwanza nilidhani ni mwandishi msomi anayejua mambo mengi na ana weledi kumbe ni ni wale waandishi njaa. Buree kabisa! Unajidhalilisha buree ! Kama unaandika...
  6. N

  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A heartfelt message to my future wife before 31st December 2025

    CLOSED 🔐
  8. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 No Negotiations, No Reconciliation without Resignations!

    Mataccoooos yako boyaaa mkubwa wewe! Huo uchawa wako uta kuku-cost, nenda kamuulize Tulia
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Kadogo2, Nilijua ninayeteseka na mapenzi ni mimi peke yangu kumbe tupo wengi. Nashukuru nimesoma thread yako na kujua kuwa kumbe maisha yanahitaji uvumilivu na kuwa na subraa. Anyway mimi niliamua kukaa kando na kuyapa kisogo mahusiano lakini kupitia andiko lako nimeona kama ikiwa upendo ni...
  10. N

    JamiiForums Tanzania D9 ndio Habari Kagame looo

    Jeshi la tz ni wangese wakubwa plus teeth! Manyokoooo zao including djs na cdf4 wao Hawajui hata dhamana waliyopewa kwenye kulinda hili taifa (watanzania na rasilimali zake), yaani wamekuwa walamba mataccoss ya samuya!
  11. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha ya Siku: Ridhiwani Kikwete pamoja na Jesca Magufuli katika utulivu mkubwa Bungeni

    Mlamba mataccos! Bureeee kabisaaa
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta 'mwananake' mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia

    Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu. Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora pamoja. Elimu yangu ni ya Chuo, nina kibarua cha kunipatia kipato cha kuendesha familia vizuri...
Back
Top Bottom