Recent content by Newsnet

  1. Newsnet

    Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

    Tumsifu Yesu Kristo Naomba kuchangia, Kwamba Jambo hili ni gumu na inabidi lijadiliwe kwa kutanguliza upendo Biblia inaposema aliloliunganisha Mungu Mwanadamu asitenganishe inamaanisha kuwa ndoa ni agizo la Mungu na yeye ndo muasisi wa ndoa, mwanadamu hana uwezo wa kulitengua agano la ndoa...
  2. Newsnet

    Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Fundisho la msingi la Kanisa la Wasabato ni Kuwashutumu Wakatoriki. Vitabu vyao wanavyovipenda ni Danieli Ufunuo Dhehebu la Kisabato lilianzishwa kwa lengo kuu la kulipinga dhehebu la Roman Cathoric Hivyo hiyo ni Sera yao Na sio kuhubiri Injili, jambo ambalo wanalifanya kwa shingo...
  3. Newsnet

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Mr, Melo Why women are not members of Freemasonry ? Why Freemasonry are hiding to be a Secret Society.
  4. Newsnet

    Utabiri: Ndoa ya madame Flora hatiani

    Mathayo 5 31 Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; 32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini. Amina
  5. Newsnet

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Huu ni muongozo wa imani ya Kikristo Kijamii mtu akinikosea naenda, au kumshtaki polisi ama kumfungulia mashtaka mahakamani. kwani Ukristo unaruhusu kutii miongozo ya mamlaka zinazotuongoza Miongizo hiyo ni kutumia vyombo vya mamlaka hizo kama vyombo vya KIULINZI na vya KISHERIA Nilichokataa...
  6. Newsnet

    Kumbe Mwanaadamu hamiliki chochote hapa duniani

    1 Timotheo - 1 Timothy 6 3 Mtu awaye yote akifundisha elimu nyingine, wala hayakubali maneno yenye uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo, wala mafundisho yapatanayo na utauwa, 4 amejivuna; wala hafahamu neno lo lote; bali ana wazimu wa kuwazia habari za maswali, na mashindano ya maneno, ambayo...
  7. Newsnet

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Sasa nime elewa ni kwanini Serikari haitaki kudhamini Mahakama ya kadhi Kitendo cha kusema itashughulika na Ndoa, Ibada na Mirathi pekee ni kinyume na ukweli kuwa, Inaposimama mahakama ya kadhi SHARIA yote ya dini lazima ifanye kazi kwani Qurani ndo inavyoelekeza Wakisema hawatachinja wazinzi...
  8. Newsnet

    Upasuaji wa kwanza wa kupandikiza kichwa(world's first human head transplant)

    Hii mada ni vizuri angeandikwa na mtu mwenye utaalamu nayo kuliko anayehisi au kudhani. Unasema mwili utakaowekewa kichwa ni freshi inamaana ambao haujafa sasa kichwa chake kitatolewaje hadi kiwekewe cha mtu aliyepooza ? Aliyepooza ameondolewa kichwa ili kiwekwe kwenye mwili freshi. Huo mwili...
  9. Newsnet

    Nilichungulia kuzimu mashetani, Dunia ina mengi ya kutisha sana.

    Hayo mambo ya majini vinyamkela, mizimu, mashetani ni vya kuwaogofya watu dhaifu wasio jiamini Mimi siviogopi hivyo vindondocha. Kuviogopa hivyo ni sawa na kuogopa kivuli chako Ukiamua uko huru kuviogopa.
  10. Newsnet

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Wewe unamwaga sana umombo, sisi hatukijui sana Hiyo perfect system yako isiyotoa uchafu kwangu mimi siyo Kwangu mimi Perfect System lazima utoe west products Mfano Viumbe vyote Mashine za aina zote Ecosystem Hebu nawe tuwekee mifano ya hizo Perfect Efficiency Systems zako ambazo hazitoi west...
  11. Newsnet

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Bosi Ivi unadharau tendo la kunya kwa viumbe ambalo ni kutoa west product ? Tulivyo anza Form One kwenye somo la Biology tulijifunza The Characteristics of Living Organizims. Baadhi yake ni Reproduction, Excretion, Movement, Feeding, Growth, nyingine utanikumbusha nimesahau unajua ni zamani...
  12. Newsnet

    Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

    Majini ni dhaifu Nilipokuwa mtoto siku moja usiku tukiwa tumelala mama aliweweseka Tukaenda kumwamsha baba Alipokuja na kumwuliza mama nini kimetokea akazibu " sisi mi majini tunahitaji mtufukizie ubani na mtuchinjie kuku tunywe damu yake" Baba akasema Ivi ninyi majini huko kwenu hakuna mibani...
  13. Newsnet

    Upasuaji wa kwanza wa kupandikiza kichwa(world's first human head transplant)

    Layman, Ivi mtu kafa na anaanza kuoza awekewe kichwa kizima halafu mwili ulioanza kuoza uamke. Hata mwili uwekwe kwenye friji, na udungwe sindano ya kuto kuoza, unakauka, mishipa inafunga, seri zinakufa, viungo vya ndani, kama figo, ini, bandama vinaharibika, Eti kwa kuwekewa kichwa kipya...
  14. Newsnet

    Upasuaji wa kwanza wa kupandikiza kichwa(world's first human head transplant)

    Kuna mtaalamu hapa ameshauri. Wanatoa kichwa cha aliyepooza ili kipate mwili mpya Huo mwili unaopelekewa kicha ni ule uliokufa yani marehemu anawekewa kichwa cha mtu mzima ili aamke. Ivi huyo anayewekewa kichwa inamaana yeye kimekufa kichwa pekee ? Kama kafa mwili wote ina maana Seri za mwili...
  15. Newsnet

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Mimi Siwezi kumchinja aliyembaka mwanangu au ndugu yangu Mungu amenifundisha nisamehe saba mara sabini bila kujali aina ya kosa Mungu ameniagiza NISIUE hata nitendewe kosa la namna gani. Mungu ameniahidi kuwa ni yeye peke yake ndiye anayelipa kisasi Ndo maana nampenda sana Mungu wangu...
Back
Top Bottom