Kilicho fanyika leo ndo kilicho fachika kati ya Tabora united na Simba mkoani tabora.
Ligi ya hapa Nbc imejaa upangaji na yote hii ni kwasababu ya wanasiasa kujiingiza kwenye michezo kwa kutafuta umaarifu wa dezo.
Acha uwongo ndugu diamond nyimbo zake nyingi sio bora sana kwa muda kama kiba sema diamond ana kiki kiujanja ujanja lkn si muandishi mzuri sana kulingana na ally kiba ingawa mimi sio mshabiki wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.