Mbona na wewe hufuati taratibu zote za uandishi?? Mfano badala ya "yeye" umeandika "yy"!!Ukifuatiria utunzi wa mashairi kati ya hawa watu wawili utagundua kuwa diamond anafata utaratibu zote za kiuandishi katika kuandika mashairi yake vina kati na mwisho...
Lakini king kiba yy ni mkali wa sauti tu lakini kiuandishi bado sana
Vipi mbn kama umepaniki iviMbona na wewe hufuati taratibu zote za uandishi?? Mfano badala ya "yeye" umeandika "yy"!!
Alafu mwisho wa habari yako hujaweka nukta!!!
Anza kujirekebisha wewe kabla hujarekebisha wenzio!!
Naongelea taratibu za kiuandishi wa mashairi kama vina kati na mwisho pamoja na mizani 16 bars cjui ushanielewaAcha uwongo ndugu diamond nyimbo zake nyingi sio bora sana kwa muda kama kiba sema diamond ana kiki kiujanja ujanja lkn si muandishi mzuri sana kulingana na ally kiba ingawa mimi sio mshabiki wao
Aisee kiba alikuwa katika ubora wake kipindi icho sio siku iziLakini lile goma LA dushelele kwa mashairi balaa
Kiba hana tofauti na Timbulo,kumlinganisha na diamond ni kumpaisha sanaUkifuatiria utunzi wa mashairi kati ya hawa watu wawili utagundua kuwa diamond anafata taratibu zote za kiuandishi katika kuandika mashairi yake vina kati na mwisho...
Lakini king kiba yy ni mkali wa sauti tu lakini kiuandishi bado sana
Eti aliamua kupumzika muziki,karudishwa kinguvu na wasiomtakia mema Diamond kakuta gemu gumu na watu wamekaza anaishia kutuma watu warushe mikojoAisee kiba alikuwa katika ubora wake kipindi icho sio siku izi