Harakati zinazoendelea kwa sasa za CHAMA CHA DEMOCRACIA NA MAENDELEO (CHADEMA) wengi wetu tunajua nini hasa kusudio la chadema...na sivyo wanavyo fikiria CCM na uongozi wao ulioko madarakani.
Kinachoendelea sasa...nikuwaelimisha wananchi hasa wale ambao hawajui ni kitu gani kinachoendelea...
Hivi ndivyo wakazi wanaotumia barabara ya kuanzia devis corner kuelekea vituka na buza walivyo tapeliwa na baadhi ya viongozi ambao walikuwa wanagombani uongozi wa serikali za mitaa kupitia chama cha mapinduzi (ccm). Wakati wakampeni ndogo hizo zilizofanyika mwishoni kwa mwezi uliopita, agenda...
Komed huwa hawatabiriki wale, wapo kama kinyonga ni wabunifu saaana. Kunakipindi wanaboooa kunakipindi wavutia saana. But for this tyme hawanivutii kivile. Sometimes ninakosa hamu yakuicheki kwasababu ya mpangilio wao wa sasa wa habari zao. Hauwezi kuwafananisha na futuhi hata kidogo. Japokuwa...
Wabongo hatupendani hasa wakati kunatokea kosa dogo kama hilo la kanumba, ilikuwa haina aje ya kumkeje kijana mwenzetu namna ile. Kwana kunawengine wengi tu ambao lugha hiyo ya kiingereza inawapigachenga pindi inapofikia mazungumzo ya hapo kwa hapo(conversation). Wa bongo wengi tumeshazoea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.