Ukishaona mwajiri anaetaka malipo yoyote kaa mbali ni matapeli.usijaribu kutuma hela wala kupoteza muda.simply n obvious hao ni matapeli.kama utapenda kujiridhisha zaidi basi fika ubalozi wao hapa nchini japo najua utapoteza muda bure.unaweza pia kuwatambua kwa kuangalia sender email adress km...
Pole sn.huna haja ya kwenda na mpenzi wako wa sasa.show that ni masmuzi yako na siyo kusaidiwa na mpenzi wa sasa.ni kweli ni changamoto mana ndoa ya kikristo haivunjwi ila nakushauri consult wachungaji (wasomi)wakushauri kwa hili.
Uliyopost huna akili kabisa na kama unayo basi hujui kuitumia.Lowasa km Yesu?Never Ever.Yesu ni Mungu,Lowasa ni mwanadamu tuuuuuu ht hamkaribiiiiii.Moderator futa hii post ya kijinga kabisa
Mtaponda sana ila kiukweli miaka 16 sio michache.Naamini ameaminika lets pray afanye kazi kwa haki na kwa uadilifu na sio kwa matakwa yenye manufaa kwa wachache.Kuna ndugu amegusia maswala ya strategic management na financial, kwa hili sina uhakika sana ila ninachoamini skills are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.