Recent content by newFabreg

  1. N

    Ulitumia mbinu zipi ukafanikiwa kuacha zinaa?

    Kwanza kabisa weka dhamira ya dhati kwamba mim na zinaa basi sitaki tena. Jenga tabia ya kuongea na wew mwenyew, yan kabla hujafanya kitu jiambie faida na hasara zake then jikanye na jizoeshe kuwa na nguvu ya kusikiliza maonyo unayojipa mwenyew. Epuka mazingira yanayokuletea vishawishi hvo...
  2. N

    Mwakyembe kakosa nini?

    Inabidi waweke na standard ya elimu ya wanaotakiwa kuwasifia. Maana wanasifiwa sana na wasioenda shule kabisa na wanashangilia ila kukosolewa ndo wanaweka standard ya elimu
  3. N

    Mwakyembe kakosa nini?

    Tuna wasomi wajinga wengi, yani kujiona wew n bora zaidi ya wengne kisa tu unawazidi degree zako ni ujinga wa ngazi ya juu sana. Hvi huyo mwakyembe akiumwa hawez kupata ushauri wa matumizi ya dawa kwa nesi mwenye certificate tu? Njaa inawafanya wasomi wengi kuwa wajinga
  4. N

    Msaada wa mbinu za kuachana na mpenzi wako mnayefanya kazi pamoja

    Dadaangu utaachana na wangapi? Wew ndo unayejua kama huyo mwanaume anakupenda kweli au mzinguaji migogoro ipo tu na hakuna mwanaume mkamalifu. Ikiwa kimbilio lako ni kuvunja mahusiano kila mnapogombana na mpenzi wako utavunja mahusiano mengi. Umesema mwenyew kwamba anapewa maneno mabaya kukuhusu...
Back
Top Bottom