Recent content by New Engine

  1. N

    Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    Sheria yetu inamtambua ke tu kuwa mhanga wa ubakaji. Hata me akitoa taarifa Polisi kesi inaangaliwa kwa Mashaka na mara nyingi ufutwa.
  2. N

    Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Miss Chagga nakukubali sana. Nakushukuru kufanya JF kuwa mahali pa burudani. Best regards. New Engine.
  3. N

    Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Miss Chagga naandaa safari kuja kukuona. Niko vizuri wewe tu. Full mpunga. Wewe na Lara1 uwa mna mauwezo nzuri wa kucreat followers. Shimboni!
  4. N

    Scorpion ni mtaratibu sana, ni kiongozi wa dini

    Vyombo vya usalama vifuatilie ukweli huu. Na kama Ali Saidi anamiliki mtandao wa vibaka ashugulikiwe. Mimi nilishindwa kuelewa MTU atobolewe macho halafu asiende polisi mpaka asubiri waandishi wa habari ainiingi akilini. Kama kweli scorpion alipambana na jambazi mkuu atendewe haki. Ukweli...
  5. N

    Msafara wa Serikali ya Burundi na msaada kwa wahanga wa tetemeko la Kagera

    Mungu mkubwa Burundi katusaidia! Hili ni deni hakika.
  6. N

    Malawi yadai kuishtaki Tanzania kwenye Umoja wa Afrika(AU)

    Rais Mutharika akianzisha vita walinzi wake watamkamata na kumkabidhi kwa JPM. Nani anataka anataka vita Malawi. Dunia nzima mpaka ukiangukia majini basi mnagawana. Hata wanyama rukusa kuvuka mipaka. Mutharika anatamaa ameambiwa kuna mafuta ziwani amepanic.
  7. N

    Mahakama Yazuia NHC kupiga mnada mali za Freeman Mbowe

    Wanasheria wa NHC kula hela zetu kwa halali, taaluma yenu inawaambia kesi isisikilizwe wakati mlikuwa na wiki nzima kujipanga. Ninyi ndo mnawafanya watumishi wa umma waonekane wajinga na pesa ya umma ni shamba la marehemu. Guys be committed.
  8. N

    Kuna mambo yanaendelea hii nchi unabaki kujiuliza kama kweli tunajua tunapokwenda na tunakwendaje?

    Ili nchi hii owe na viwanda lazima misingi ya ujenzi wa viwanda uangaliwe. Kitaalam wa viwanda nchi hii aina maji wala umeme, mitaji wala teknolojia, Sera program wala project mkakati za kiviwanda.
  9. N

    Uteuzi wa Raia wa Uganda kuongoza NSSF: Ombeni Sefue, Eric Shitindi & Jenista Mhagama wajiuzulu

    Suala na NSSF limesababisha tugundue matumizi ya multiple id's. Inayelalamika no yule yule. Mkuu mbona mahakama zipo. Kwa nini kuharibu maisha ya watu kwa jina la Dr.Dau. Tafadhali tuwe wazalendo tujenge taifa bila majungu.
  10. N

    Ukistaajabu ya Jenista Mhagama utayaona ya Ombeni Sefue NSSF

    "THE BIG SHOW, Mkuu unaleta uchonganishi, majungu, udini na fit in a ktk suala na NSSF. Please heshimu watu wamejenga uadilifu wao miaka mingi. Kama unajua utawala na uongozi bac kubali Dr. Dau ndo keshakua Balozi. Acha wengine nao waoneshe uwezo wao. Nchi hii si Mali ya makundi ya mafisadi...
  11. N

    Nauliza ni kwanini mpaka leo vyuo vikuu Afrika Kusini hawasomi bure?

    Nchi nyingi duniani elimu inalipiwa. Elimu bure hasa chuo inapatikana nchi za Scandinavia. Ukifuatilia wako vizuri kwa viwango vya maisha bora. SA bado wana matabaka ya kiuchumi wengi wa wasouth wana maisha magumu hadi wanaua wageni. Julius Malema anatetea haki ya maisha bora kwa watu weusi...
  12. N

    Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Mkuupole, maadui wa uhuru wapo kila mahali na wengine ndugu zetu. Wasamehe tu. Wameshindana wakashindwa kwa aibu kuu.
  13. N

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Mkuu pole. Tafuta marafiki walioolewa angalia wanavyoishi. Mpe mwanaume nafasi ya kuonesha uanaume wake. Msikilize sana deka kidogo. Acha agharimie kwa uwezo wake. Ngono mapema noma. Kaa mkao wa mwolewaji ili usiwe jamvi la wageni. Apo status ya kijana unayempa fursamuhimu sana.eg elimu,umri...
  14. N

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Mkuu polepole ni mtizamo tu!
Back
Top Bottom