Recent content by NEW COVID

  1. N

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Barozi ni mtu asiefaa Kwa Nafasi au uaminifu ndyo maana hutupwa barozi nchi frani Kwa Tz lakini ,ukibahitika kufahamu maana ya maneno ,security intelingence au security services haya NI maneno 2 tofauti yenye maana tofauti .UKWELI NI KWABA TUPO KATIKA WAKATI MGUMU SANA TENA SANA .KILA MMOJA KWA...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

    Wazo zuri lakin i ,,Kwa nchi hiiiii mkuuu ni ngumu kumeza
  3. N

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

    Kwa hiyoo hivi virus vya Corona ni season na kama ni season ipo mpaka ya ngapi
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vinywaji vinavyoongeza perfomance kwenye Show

    Hahahahaha,,SA hivi kijana akiwa anaenda kweny shooo anajikoki ,hivhiv Ngoma haifanyi kazi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Vinywaji vinavyoongeza perfomance kwenye Show

    Mmmmhh,,nyie hamshughuriki sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Vinywaji vinavyoongeza perfomance kwenye Show

    Ukila ukashiba na ukanywa maji mengi, mawazo ukayaweka pembeni, shooo itakubali tuuuu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Siku watanzania wakijua umuhimu wa Katiba Mpya nini kitatokea?

    Nyerere ni mtu hatari ,Kwa mfano Zanzibar aliinyima jeshi mengne akawapa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Siku watanzania wakijua umuhimu wa Katiba Mpya nini kitatokea?

    Katiba ikisukwa vizuri Kwa asilimia kadhaaa ni mwarobaini Kwa mfano ,, Nafasi hizi anateuwa mtu mmoja 1.makamo WA rais 2.waziri mkuu 3.mawaziri wote na manaibu 4 .wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama 5.wakuu wa mikoa 6.wakuu wa wilaya 7.wakulugenzi 8.makatibu tawala 9.wakuu WA idara mfano...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Siku watanzania wakijua umuhimu wa Katiba Mpya nini kitatokea?

    Wakuuu najaribu kuwaza kwa mapana, Tanzania tunatumia KATIBA ya mwaka 1977 na huu ni mwaka 2021. Malalamiko ni mengi mno kutokana na KATIBA ya OVYO. Je, Watanzania siku wakifahamu hili suala ni muhimu nini kitatokea na ni lini watafahamu?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

    Kwa hyoo ,NDUGAI hajui maana ya neno wakili msomi? Hahahahaha
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wabunge wetu wanatuwakilisha sisi?

    Mbunge anapisha TOZO za HOVYO HOVYO .wakati kuna watu hata tsh 1000 Kwa siku hawapati ..
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wabunge wetu wanatuwakilisha sisi?

    Tiba ya hili ni KATIBA MPYA,,,ukipinga Sana kamati ya ufundi imo bungengeni mitano ikiisha utalima nyanya ,je Nani atamfunga paka kengele?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Bunge lisijadili Mitaala ya Elimu, Wabunge wengi wana upeo mdogo

    Ndyoooo ,wabunge wengi ni vilaza ,,wenye unafuu labda 5 .Watanzania Weng Sijui tulilogwa na nan . Watanzania tupo milioni 70 .wabunge Kwa mfano wapo 400 . Sasa ukiangalia erimu zao wanafeed ..
Back
Top Bottom