Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

Kenya wanayo kampuni kama hii na inawasaidia sana watu mbali mbali pia police ya kenya inapata msaada kutoka hiyo kampuni , katika nchi za east africa kenya peke yake ndio wameruhusu jambo kama hili, sijui kwa tz itakuwaje ila lazima ukutane na chngmoto sana maaana kuna watu unamwaga ugali wao,
 
Huyo ni mmoja wa kambuni binafsi zakiuchunguzi nchini kenya

OIP.jpg

OIP-1.jpg

R.png

OIP.jpg
 
Kenya wanayo kampuni kama hii na inawasaidia sana watu mbali mbali pia police ya kenya inapata msaada kutoka hiyo kampuni , katika nchi za east africa kenya peke yake ndio wameruhusu jambo kama hili, sijui kwa tz itakuwaje ila lazima ukutane na chngmoto sana maaana kuna watu unamwaga ugali wao,
Ni kweli ninachoamini mimi Tanzania wapelelezi ni wengi sana na hawashindwi kupeleleza jambo isipokuwa huwa wanafanya makusudi kuchelewesha upelelezi kwa maslahi fulani.
 
Utapata kazi za watu binafsi wanaotaka kuwafumania wenza wao; na magazeti ya udaku kuwapelekea umbea...

Serikali haiwezi kukupa wewe mtu binafsi kazi za upelelezi wakati wao wana wapelelezi wao (itaonyesha hawafanyi kazi) Pia kama watataka kuficha upelelezi fulani kuongeza third party ni kuleta uwezako wa leakage za habari...

By the way unataka kuisadia serikali kupeleleza wakati haujui reaction yao si ukawapeleze...., au ndio ushaanza upelelezi
 
kwamba watakachohisi ni kwamba tayari unataarifa zao hivyo lazima wakuzime
Kabisa..
Mfano, kwenye lile sakata la jaribio la mauaji ya Lissu, ukipeleleza inabidi utafute kujua askari waliokuwa zamu siku ile, aliyewaondoa, aliyeondoa zile kamera za Cctv baada ya tukio, aliyetoa amri ya hayo kufanyika, nk..

Kabla hujafika mbali utashangaa kitanzi kipo shingoni kwako, na unasakwa kila kona!
 
Habari wadau,

Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k

Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja wangu.

Mfano hivi karibuni kwenye suala la Hamza, kuungua kwa soko na mambo mengine mengi ambayo Serikali imekuwa ikiangaika kuunda tume za kuchunguza ambazo zinaonyesha zinachelewa kutoa majibu kwa wakati Serikali inaweza kuipa kazi kampuni na kushughulikia suala hilo fasta na kutoa majibu.

Wasiwasi: Je ili suala linawezekana kwa hapa Tanzania?
Leo naona umetuliza akili sana ukaja na nondo Moja ya uhakika
Ngoja nisome kwenye Memorandum yangu nione kama hicho kitu kipo then nitakurudia
 
Kabisa..
Mfano, kwenye lile sakata la jaribio la mauaji ya Lissu, ukipeleleza inabidi utafute kujua askari waliokuwa zamu siku ile, aliyewaondoa, aliyeondoa zile kamera za Cctv baada ya tukio, aliyetoa amri ya hayo kufanyika, nk..

Kabla hujafika mbali utashangaa kitanzi kipo shingoni kwako, na unasakwa kila kona!
🙆🙆
 
Utapata kazi za watu binafsi wanaotaka kuwafumania wenza wao; na magazeti ya udaku kuwapelekea umbea...

Serikali haiwezi kukupa wewe mtu binafsi kazi za upelelezi wakati wao wana wapelelezi wao (itaonyesha hawafanyi kazi) Pia kama watataka kuficha upelelezi fulani kuongeza third party ni kuleta uwezako wa leakage za habari...

By the way unataka kuisadia serikali kupeleleza wakati haujui reaction yao si ukawapeleze...., au ndio ushaanza upelelezi
Nimeona some time mtu anaweza akaibiwa mfano simu akapeleka repoti polisi basi mambo ndio yameisha hawezi hata kupata hiyo simu.watu kama hawa wanaweza kuja ofisini kampuni ikawasaidia kufanya uchunguzi na kukusanya ushaidi then kumpa repoti mteja na kumshauri au na check na idara ya polisi wamalize kazi yao.
 
Habari wadau,

Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k

Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja wangu.

Mfano hivi karibuni kwenye suala la Hamza, kuungua kwa soko na mambo mengine mengi ambayo Serikali imekuwa ikiangaika kuunda tume za kuchunguza ambazo zinaonyesha zinachelewa kutoa majibu kwa wakati Serikali inaweza kuipa kazi kampuni na kushughulikia suala hilo fasta na kutoa majibu.

Wasiwasi: Je ili suala linawezekana kwa hapa Tanzania?
Nakuunga mkono kwa juu ya wazo lako!! ulizia taratibu zinasemaje?? Ni kitu ambacho hata Mimi nimewahi kufir kufungua!! ususani baada ya kusoma tamthilia ya Peniela!
 
Kwa nchi za Africa ni ngumu kulikubali wazo hili maana serikali za uongo ndio zinaongoza nchi na viongozi wote karibia ni matapeli na hawapendi kusikia ukweli.

Hivyo wazo hili halitapata nafasi na unaweza kufunguliwa mashtaka kwa kupeleka wazo tu
Mbona Kenya Kuna makampuni binafsi ya upelelezi na yana fanya kazi!!?? Tena Kuna kampuni moja mmriki wake ni mdada!
 
Habari wadau,

Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k

Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja wangu.

Mfano hivi karibuni kwenye suala la Hamza, kuungua kwa soko na mambo mengine mengi ambayo Serikali imekuwa ikiangaika kuunda tume za kuchunguza ambazo zinaonyesha zinachelewa kutoa majibu kwa wakati Serikali inaweza kuipa kazi kampuni na kushughulikia suala hilo fasta na kutoa majibu.

Wasiwasi: Je ili suala linawezekana kwa hapa Tanzania?
Sheria haziruhisu....
 
Naonani jambo zurisana, ila nchi hii, sidhani kama litakubali, kesi za kubambikiwa zingetatuliwa kihalali.
Peleka usikie kwa hao wenyewe.b
Naamini wengi wanatamani hivyo.
 
Habari wadau,

Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k

Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja wangu.

Mfano hivi karibuni kwenye suala la Hamza, kuungua kwa soko na mambo mengine mengi ambayo Serikali imekuwa ikiangaika kuunda tume za kuchunguza ambazo zinaonyesha zinachelewa kutoa majibu kwa wakati Serikali inaweza kuipa kazi kampuni na kushughulikia suala hilo fasta na kutoa majibu.

Wasiwasi: Je ili suala linawezekana kwa hapa Tanzania?
Wazo zuri lakin i ,,Kwa nchi hiiiii mkuuu ni ngumu kumeza
 
Back
Top Bottom