Recent content by nevis

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

    acha kukurupuka kutoa data zisizo na ukweli wowote
  2. N

    JamiiForums Tanzania Fahahu hivi ndio vyuo bora ambao wanafunzi wake hufanya vizuli maofisini na kozi

    thanks for you comments! but we need evidence and not romours
  3. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    shein huwezi shindwa tupo nyuma yako kuilinda nchi yetu kwa kila hali zidi ya majangili hawa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    serikali ina mkono mrefu na wala siamin kama imeshindwa kuwadhibiti wana uamsho! kamata peleka ngwara hao hatuwahitajiii
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

    hakuna kuwavumilia watu wa namna hii! no one is above the law
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni nani mdini namba moja, ni nani alaumiwe katika hali hii-tutafakari sana!

    Acha kuleta masuala ya udini! tujadili masuala ya maendeleo ya jamii yetu bila udini
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni nani mdini namba moja, ni nani alaumiwe katika hali hii-tutafakari sana!

    tafakuru ya kina kuhusu mstakabali wa nchi yetu ni lazima, lakini si kuruhusu watu wachache wavuruge nchi yetu kama vile wao wapo juu ya sheria hilo NOOOOOOOO! tusikubali kudanganywa na waislamu wachache ambao hawaitaki mema nchi yetu. Usalama wa nchi yetu KWANZA
Back
Top Bottom