Recent content by neurosurgeon

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamu wa tunda la kati - Part 1: Nilivyolia kama mtoto mdogo

    Sisi wengine huwa tunawakojoza bila kuandaa cha.muhimu uguse G sport
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

    Uzuri Ni subjective
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

    Wa kwanza hapo Ni Monique Seka hao wengine wajuu Ni waimbaji na waneguaji Monique seka Ni mwanamziki.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

    Ni raia wa Ivory Coast anaishi Ufaransa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nadhani Monique Sekka ndio the best African female musician who ever lived

    Ni raia wa Ivory Coast anaishi Ufaransa.
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimdharau huyu mzee, siku niliyompa tunda nikajuta!

    Yeah.ndio.hivyo.alikuwa jirani.yangu.miaka.hiyo udsm
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimdharau huyu mzee, siku niliyompa tunda nikajuta!

    Mh siyo professor was history wa udsm kweli Nina nalihifadhi kwasasa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mtani wangu Oten wa Moro ulitupiga kamba kwenye Ngoma yako ya nicheki, upanga siyo mitaa ya kisure bal ni uswahilini

    Kwanza lazima ujue context ya wimbo na wakati gani uliimbwa na ulilenga nini ndio uje na hoja ulizoleta
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Hello Natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea mambo mengine tutaongea akipatikana. Mimi naitwa John niko Dar kwasasa. Umri wangu miaka 35.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Pendekezo la Samia kwa Janabi linaweza kuwa ni changamoto?

    Asante mkuu uchambuzi mujaribu. Kuna mtu Ali post kuhusu dr Neema ni regional director wa WHO huko Malawi Yule Ndio Angefaa. WHO wanataka mtu mwenye international exposure kwenye public health.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Huwezi ku conclude au kumtumia insider kuwa Ndio maisha yalivyo. Insider Ana share experience yake na haiwezi kuwa hivyo kwa kila mtu, experience has to be lived.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mtupie jicho la tatu Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Rufaa Mwanza Sekou Toure Dkt. Bahati Msacky

    Kwanini unataka apewe nafasi ya juu zaidi? Kama hapo a nafanya vizuri sasa Kwanini atolewe eti apate nafasi ya juu?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Ndio maana hujui nini maana ya kanisa, sasa wewe unataka Utoe pesa upate Vitu kwa kanisa . Kanisa haliendi hivyo, kanisa kwa maana hasa ya Imani linakusaidia kwenye mambo ya kiroho yanakuwezesha kupata Baraka zinazokuwezesha kupata Mali na vitu vitakavyokuwezesha kuendesha maisha. Vitu au Mali...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Martin Luther aliondoka na kanisa limeendelea itakuwa wewe nenda mwanakwenda
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Kwanza unajichanganya mwenyewe kwenye maelezo yako. Unakaataje Mungu hayupo bila uwepo wake? Huwezi kukataa uwepo WA kitu bila kitu kenyewe Ku exist first. St Anselm, alisema wapumbavu husema hakuna Mungu, wakati mawazoni mwao the concept God is already there. Tuje kwenye jumuiya na ukatoliki...
Back
Top Bottom