Recent content by Network4

  1. N

    JamiiForums Tanzania CCM yashinda Umeya Kigamboni

    Huyu jamaa hajui na hajui kuwa hajui vingi sana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ndalichako: Walimu wa sanaa wanatosha. Serikali haiwezi kuajiri walimu wa masomo hayo kwa sasa

    Serikal hii sasa tumeijua vyema!! Ninajua kuanzia 2019 wataanza kugawa ajira kama njungu ili kuwa pumbaza watanzania!! Bahati nzuri kuna kizazi hapa katikatika kinahasira kuliko kawaida, kitatibua mission hio kabla yakutimia subiri wapishi waivishe!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania TCRA: JamiiForums haifuati masharti kama mitandao mingine, mitandao isiyofuata masharti tutaifungia

    Unapomnyanyasa mnyonge humfundishi uoga unamfundisha atafute njia yakujitetea
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hata kama tunajivua kupotea kwa Ben, hili la Mashinji kugawa vyeti msituni linazua maswali

    Wakati mwingine huwa mnawafanya watanzania wapumbavu kweli!! Unajaribu kutengeneza vijihoja vyakuwahamisha watu kwenye hoja za msingi wajadili ujinga wako huu!! Vyombo vya dola navyo hata havioni kunawatu kama ww wanatakiwa kuhojiwa watoe maelezo maana unaonesha kujua kitu flani! Chadema sakata...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya UTG baada Saa 72 zilizotolewa kukamilika

    Jumapili tarehe 11/12/2016 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) Ndg.Bob Chacha Wangwe akiongea na waandishi wa habari alisema UTG inatoa saa 72 kwa taasisi zinazohusika na suala la Ben-Rabiu Wa Saanane na suala la miili ya watu 7 iliyookotwa Bagamoyo zichukue hatua...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza operesheni ''Kata Funua''

    Operation hii hata bosi wenu kule aliko anachungulia dirishani kuwapigia simu wakuu wa mikoa na wilaya wahakikishe hakuna mikutano ya siasa!! Hii yote niuga kwa sababu anajua mziki wa upinzani kwa sasa!! CCM kwa sasa imebakiza jina na vijana wachache nao wapo kimaslahi!! Tena kama mnajielewa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Yaliyojiri kutoka mahakamani Arusha, dhamana ya Mbunge Lema yashindikana

    Unachopaswa kujua serikali imejificha kwenye mapingamizi nabahati ilioje hata mapigamizi yenyewe hayajasikilizwa,,,,sasa unataka Lema aachie huku hata taratibu zakimahakama hazielekezi unavyotaka? Hawa mawakili wa serikali wanapaswa kwenda moja kwa moja kwenye kesi ya msingi, mapingamizi yao...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara akamatwa na kushikiliwa na Polisi kituo cha Polisi Chang'ombe

    Yaani ww jamaa nimshamba sana nihisi ww niwakuja!! Nothing you know than to know nothing itself
  9. N

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Tutamtoa Lema rumande kwa mujibu wa sheria, eventually. Hiyo ni ahadi

    Kwa kweli ww nimagonjwa!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nani analipia hizi kesi za akina Lema?

    Mbona huzungumzii yule aliejivika umungu mtu ambaye kila siku anashitaki watu? Je kesi zake zinalipiwa na nani? Sisi hatukumtuma akaropoke ovyo sasa yy badala yakufanya yenye masilahi ya nchi anatafuta utukufu binafsi, akipingwa tayari kesi, nani hulipia hizi kesi zamadhaifu ya mtu binafsi? Huyu...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aporomoka umaarufu: Asilimia 50 tu waridhishwa na utendaji wake! Inaogopesha!

    Taarifa zakipuuzi kwenu ni kuikosoa serikali na miungu watu wake!!? "Amtumainie mwanadamu amelaaniwa" panueni magereza hakika mnajichimbia shimo ambalo hamtakuja kulisahau!! Sisi watanzania sio wajinga kama mnavyofikili!! Time will tell.......
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili wasilaumiwe waandishi, CHADEMA, Lowassa bali tukubali uwezo wa Magufuli ni mkubwa

    ha ha ha mnajitahidi kusafisha choo cha wanafunzi!!!! endeleeni #
  13. N

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Dawa ya Wabunge wa CCM wakosoaji yapatikana

    ha ha ha, mkuu utapoteza mda tu huyu anajionesha kabsa anamiliki kichwa lakini hakina rutuba
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wanaoikosoa serikali ni wabunge wa CHADEMA kupitia CCM???

    Hii nchi inaraia wengi mizigo, safari hii hadi 2020 tutaheshimiana, siasa zakihuni wekeni pembeni!! Goli lamkono kule tuendako litawaathiri pakubwa, badala yakufanya majukumu yenu umma uyanotisfy nyie mnatulazimisha tuyaone hata kama hayaonekani!!!!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane na kundi lako mnatafuta nini kwa Rais Magufuli mnapomzulia uongo?

    Anayepaswa kuhojiwa hili swali ni JPM, kwa upotoshaji alioufanya.
Back
Top Bottom