Recent content by nettin

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Ndege za ATCL, ni ofa lakini zitadumu muda gani?

    Go and return ndo 610,000 Dar to Kigoma. kua mwelewa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dar: Ukikutwa gesti mchana unakamatwa. RC Makonda akanusha kuwatuma askari kufanya msako

    Police kupigwa? Asa we unaweza kumpiga police
  3. N

    JamiiForums Tanzania TABIBU TV Imeanza vizuri

    Ila wanarudia sana movie
  4. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wanavyotumia mbinu chafu kuua watuhumiwa wa ujambazi nchini

    Wawaue tu..au mpaka wapige tukio kwenu ndo utajua athari zao.. au mpaka waje wakuvunje mguu ndo utakua na akili
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

    Niletee hizo line za bible mkuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

    Acha uongo kua na hofu kidogo ya mungu basii
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

    Sio kwa kizifuata tu kwa mkirsto wa kweli anatakiwa kuziishi na kuzitii kanuni na taratibu za dini..kama we ni mkristo ni lazima kuzifuata..
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa Kike na Wahubiri wengine mnasemaje kuhusu kifungu hiki cha Biblia Takatifu?

    Ni mkristo gani aliekwambia agano la kale limefutwa na agano jipya..wewe ndo umepotoka na usitake kuwapotosha watu..agano la Kale linazungumzia habari Njema za mungu kabla ya yesu kristo.. agano jipya ni habari njema baada ya yesu kuzaliwa..
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Nimeshatumia mkuu lkn ilikua kma inatoka badae inarudi tena..
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Nimekuelewa mkuu Santee sana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Nimekua nikihangaika sana wakuu kwa kutafuta ni dawa gani itanisaidia lakini nimefikia kuambulia matokeo mabovu..nimeshatumia vidonge mwezi mzima lkn ni kma nachochea..unaanzia kichwani mpaka usoni kote mpaka kifuani na mgongoni.. msaada wenu tafadhali wataalamu Wa ngozi.
Back
Top Bottom