Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,526
- 25,735
Sidhani kama ni Kiswahili hiko..Mmmmm sina nane ngoja nipatafye hapo
Sidhani kama ni Kiswahili hiko..Mmmmm sina nane ngoja nipatafye hapo
Acha uongo kua na hofu kidogo ya mungu basii'Amelaaniwa mwanaume yule aongozwaye na mwanamke'.. Naukumbuka huu mstari katika biblia ila sikumbuki ni kitabu gani
Usitake kiniambia madhabahuni ukitaka kutumia reference ya hawa wahuni wa sasa hivi wanaojiita manabii....Nabii huwa anatolea wapi unabii wake?
Hakuna cha maana alicho andika zaidi ya off-quote...Big up ndugu ubarikiwe ....napenda arguments za aina hii
Enzi za Yesu alichukuliwa kama nabii katika jamii ya Israel na aliruhusiwa kuhubiri hekaluni (madhabahuni) inakuwaje hapo?Usitake kiniambia madhabahuni ukitaka kutumia reference ya hawa wahuni wa sasa hivi wanaojiita manabii....
Nabii alikuwa anapata maono na alikuwa anaenda maeneo mbalimbali hata kwenye njia na kukusanya watu...Ila kamwe alikuwa haweki miguu yake Madhabahuni(Patakatifu pa takatifu) kamwe...
Rejea Yohana alipita huku na huko na kutangaza "tengenezeni njia ya Bwana ya nyoosheni mapito yake..."
Kupata maono ni jambo moja na juhubiri kama Kuhani(kibali cha kuhutubu madhabahuni ni jambo lingine)Mtu yoyote anaweza kuwa Nabii kwa wakati wake....
Unabishana na maandiko???Nabii huwa anatolea wapi unabii wake?
Hilo andiko sibishani nalo na ninakubaliana nalo 100% nyie mnatafsiri tofauti na maana halisi na tayari nimeshaweka mistari chungu nzima iliyompa mwanamke mamlaka ya kuhubiri Injili.Unabishana na maandiko???View attachment 394193
Kivipi yaani?KAMSHAURI HAYO GWAJIMA
Mbona yeye amejitambua kama mnafiki.anajifika imani ambayo aimini.Mkuu unakosea kumuita mwenzio MNAFIKI, ingekuwa vema sana kama ungemuelewesha dhumuni lako pasi na kumuita MNAFIKI.
Sina uhakika mkuu, ila ukifuatilia sana si kawaida mwanamke katika msikiti anakuwa imamu au anaendesha swala! Nimesoma katika tovuti moja inaitwa Mwanzonews.com nimekuita hiyo habarikwan kwa waislaam kuna sheria za quran zinazo wazuia au n mfumo
Enzi za Yesu alichukuliwa kama nabii katika jamii ya Israel na aliruhusiwa kuhubiri hekaluni (madhabahuni) inakuwaje hapo?
Patakatifu pa patakatifu sio madhabahuni bali ni kwenye hema la kukutania palipo na sanduku la agano au katika hekalu alilolijenga Suleiman lililopo Jerusalem japo hekalu halikua moja.
Enzi za Yesu alichukuliwa kama nabii katika jamii ya Israel na aliruhusiwa kuhubiri hekaluni (madhabahuni) inakuwaje hapo?
Patakatifu pa patakatifu sio madhabahuni bali ni kwenye hema la kukutania palipo na sanduku la agano au katika hekalu alilolijenga Suleiman lililopo Jerusalem japo hekalu halikua moja.
Ahadi ya Roho Mtakatifu ni kwa watu wote,lakini bado Biblia haijampa mwanamke AUTHORITY OVER A MAN. Uchungaji ni mamlaka, na mamlaka hiyo ni ya kiume. Ndio maana kuanzia Agano la kale, hakuna rekodi yoyote ya mwananke aliyewahi kuwa KUHANI( kwa lugha ya sasa PRIEST ama MCHUNGAJI. Ukuhani ( Priesthood) ulikuwa EXCLUSIVE kwa kabila la WALAWI na wala hakukuwa na yeyote katika WANAUME katika makabila yale 11 yaliosalia ambako mwanaume angelazimisha ama kujipendekeza ama kupendekezwa kuwa kuhani. Na kwa kuwa MUNGU habadiliki, na njia zake hazibadiliki. Kwa kuwa Mungu ni NENO, Basi Neno la Mungu halibadiliki, n aikiwa ndivyo ilivyo, basi utaona ni WAZIMU mkamilifu leo kuwa na MAKUHANI WANAWAKE. Mwenye kuelewa na aelewe, na mwenye kuamini hili na ashikilie sana hii Divine Principle.
Umeweka mistari gani ndugu...angali mistari yako yote ipo off-point.... Mambo ya Unabii na kusimama madhabahuni ni vitu viwili tofauti ndugu...Hilo andiko sibishani nalo na ninakubaliana nalo 100% nyie mnatafsiri tofauti na maana halisi na tayari nimeshaweka mistari chungu nzima iliyompa mwanamke mamlaka ya kuhubiri Injili.
Tena saivi utumishi ni tofauti na Jesus time au old testament saivi Yesu aliacha kazi moja tu ulimwenguni nayo ni kuhubiri tu Injili tofauti na zamani kuhani alikua ana kazi nyingi sana.
Ndugu mbona unakuwa na kichwa kigumu kama uliyelogwa...? Kutoa unabii hakuhusiani na kusimama madhabahuni na kuhutubu ....Kusimama madhabahuni na kutoa mahubiri ni kazi impasayo mwanaume pekee.... Mbona unataka kulaziisha mambo..Act 2:18 even on my male servant sand female servants in those days I will pour out my Spirit, and the shall prophesy.
Maelezo yako yapo wazi kuwa umepingana na andiko mkuu. Kama Yesu angetaka kuruhusu wanawake wahubiri madhabahuni angechukua angalau hata mwanamke mmoja katika wanafunzi wake. Cha ajabu hata mwanamke mmoja hakuwemo katika wanafunzi wake 12!! Hivi ndio tuseme Yesu alikuwa mbaguzi wa wanawake?? Au alikuwa amepitwa na wakati???. Binafsi naamini Mwenyezi MUNGU yupo sahihi sana kuzuia wanawake wasihutubu pale mbele. Siku hizi wanaimba kwaya karibu nusu ya mgongo upo wazi ni aibu sana hii! Wanaimba wamejirembaaa utadhani wanataka kuwavutia wanaume kwenye hiyo kwaya!! Hii ni hatari sana! Kuna watu huwa mawazo yanahama kabisa mle kanisani kwa ajili ya kuangalia wanawake wanaoimba kwa mbwembwe na kurembesha sauti zao kanisani na kazi hiyo ya kupotosha nyoyo za watu huwa ni ya shetani. Je wanawake wamekuwa ajenti wa shetani siku hizi kwa kisingizio cha ibada iende na wakati?? Mwenyezi MUNGU ni yule yule au mna Mungu mwingine??Hilo andiko sibishani nalo na ninakubaliana nalo 100% nyie mnatafsiri tofauti na maana halisi na tayari nimeshaweka mistari chungu nzima iliyompa mwanamke mamlaka ya kuhubiri Injili.
Tena saivi utumishi ni tofauti na Jesus time au old testament saivi Yesu aliacha kazi moja tu ulimwenguni nayo ni kuhubiri tu Injili tofauti na zamani kuhani alikua ana kazi nyingi sana.
Wapi yalizungumzwa mambo ya watanzania?Nyaraka za Mtume Paulo ziliandikwa kuwalenga watu fulani. Miongoni mwa Wakorintho, mwanamke hana nafasi ya kuzungumza mbele za kadamnasi.
Paulo aliwaambia Wakorintho yanayowahusu Wakorintho, lakini si kwamba aliwakataa wanawake. Soma Matendo 18:24-26
Je andiko hiloAct 2:18 even on my male servant sand female servants in those days I will pour out my Spirit, and the shall prophesy.
nilikosea sio petro ni paulo mimi sio mfuasi wake kabisa
MIMI namfata nabii musa,yesu basi
Endelea kudhan nayo ni njia ya kupata majibuSidhani kama ni Kiswahili hiko..