Hiki ni chama cha zito mkuu...! Huyu jamaa siyo mtu mzuri siyo kwa chama tu hata kwanchi na ndyo maana ameenda sehemu ambayo hawezi kosolewa na mtu maamuzi yake ndyo yawe ya mwisho. Jamaa ni DIKTETA
Mimi binafsi naipenda sana vodacom lakini sasa hv mtandao unakuwa wa wenye nacho kama huna basi utakushinda mmepandisha bei sana huduma zenu kwakweli, rekebisheni kidogo hapo kwenye bando zenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.