Recent content by Nengonengo

  1. Nengonengo

    Ubalozi wa Marekani walaani kinachoendelea Zanzibar

    Nadhan wew ndo hujui kingereza, ulichokiandika 'grammer' si sahihi bali ni 'grammar' . Mkiambiwa elimu bure mnapinga sjui msaidiweje!
  2. Nengonengo

    Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Songea

    Huyo dr. kama mmempenda, mchukuen mkanywe naye chai. Haturud nyuma, hatuitaki ccm.
  3. Nengonengo

    Huyu ndiye LOWASSA, leo sa 3:00 usiku huu ITV usikose

    yaani mda wa kampeni kama huu halafu unataka asiulize maswali ya kampeni! nakuhurumia sana.
  4. Nengonengo

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    We wa wapi? Ngome ya UKAWA ni nchi nzima.
  5. Nengonengo

    Vijana kwenye Maandamano ya kumsindikiza Lowassa walipora mali

    Utaitofautishaje POLICCCM na hilo gazeti la uhuru!
  6. Nengonengo

    Zitto Kabwe: "Wekeni akiba ya maneno"

    Hauhitaji kumwekea maneno msaliti, ni kumtimua na kusonga mbele. Tuko mbali mno kwa sasa adui amelegea mno, HAKUNA ALIYE JUU YA CHAMA. ULIPO TUPO.
  7. Nengonengo

    Hii yaweza kuwa sababu ya CHADEMA kumkubali Lowassa

    Kwenye content sijaona umemtaja Lowasa kama title yko inavyosema hivyo hujielewi bado una ganzi ya mafuriko ya jana. Umetaja sana t shirt , gwanda na kofia za CDM, ni kweli zinauzwa kwa bei ghari na zinanunulika sana tena sana. Una akili gani ya kutokutambua sababu ya mtanzania kuvaa nguo ya CCM...
  8. Nengonengo

    Lowassa asafirisha watu kutoka mikoani kuongeza idadi ya watu wakati wa kuchukua Fomu

    CCM wamelegea sana kwa sasa ni kujichapia tu.
  9. Nengonengo

    Mwenyekiti Kikwete, itisha mkutano wa dharura tunusuru chama

    Too late! Kingunge aliwathadharisha mapema mno! Subirini kichapo tu. ULIPO TUPO.
  10. Nengonengo

    Upinzani usipochukua Nchi mwaka 2015, hautaweza kuchukua nchi tena kamwe!

    Usiwe na shaka yeyote, HATUNA MSAMIATI WA KUSHINDWA mkuu, tutagusa kila wilaya hadi kata, ULIPO TUPO.
  11. Nengonengo

    Star TV mnajidharirisha sana kwa mwendo huu....

    Star tv watambue kuwa WALIPO TUPO, hatuna msamiati wa kushindwa.
  12. Nengonengo

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Mkuu, najua hizi taarifa ni chungu sana. Kalale kidogo ukiamka utakuwa fresh. ULIPO TUPO.
  13. Nengonengo

    Kwanini UKAWA mnawagawa Watanzania na Kuamini katika Ukanda

    Naona umekaririshwa, tambua kuwa popote ulipo tupo.
  14. Nengonengo

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    ALIPO TUPO, Kesho asubuhi sana nipo kwenye starting point.
  15. Nengonengo

    Zitto: Iundwe Tume huru ya kimahakama kulichunguza suala la Richmond

    Huyu ni wa kupuuzwa tu, hata yeye anajua kabisa kuwa anatakiwa kupuuzwa.
Back
Top Bottom