Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa...