Recent content by nelson wade

  1. N

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Startimes nimelipia kifurushi leo cha siku hela imekatwa na sms imekuja ya kusema hongera kwa kujiunga kifurushi cha siku 2 lkn channels hazijafunguka, card no.02035601827
  2. N

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nmb kwanini nanunua salio kwa nmb mobile toka kwenye akaunti yanguhela inakatwa lakini sipati muda wa maongezi nilioomba? Imetokea mara mbili weekend iliyopita,majibu tafadhali
  3. N

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom, nimeweka vocha kabla sijajiunga wala kutumia mkakata shilingi 2 nikashindwa kujiunga, sijakaa sawa zikakatwa tena toka 498 mpka 438,,naogopa hata kuweka salio kwani ni mchezo unaojirudia mara kwa mara, majibu tafadhali
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Techno W5 bei?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyechezesha mpira kati ya Simba na JKT Ruvu ni vema afungiwe

    Yanga bana, wanaweweseeeka!
Back
Top Bottom