Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi. Malezi bora, maadili, na muda wa wazazi kwa watoto wao ni muhimu kwa kila mtoto bila kujali jinsia...
Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco
Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa...
Unamuita Drogba wakati Sekta ya mpira ikiwa na matatizo lukuki, ukata mkubwa wa Vifaa na miundombinu ya Michezo Mashuleni na Mitaani, hatuna academy za kutosha nchini.
Suala la Msingi:
Wakati Didier Drogba akilipwa fedha nyingi kama "pambo" la usomaji wa hotuba ya bajeti, sekta ya michezo...
Imekuwa ni kawaida sana kuwaona Askari wetu wa jeshi la polisi hapa nchi wakiwa wamevalia vibegi,vizibao na hata nguo nyingine zilizo na maandishi yanayosomeka SWAT tena juu ya Uniform zetu, je hii ni sawa ?
Tukumbuke SWAT ni kikosi maalumu cha Askari/Special Force cha nchini Marekani.
Hizi Barabara zinajengwa Arusha mjini zipitiwe kuna jambo haliko sawa.
Kuna ile ya Mianzini - Ngaramtoni ni Mwaka wa tano sasa unaenda haikamiliki na hata kipisi kilichojengwa bado kipo chini ya viwango.
Inakuaje mtu hupatiwi ticket ? wanapita na machine kwenye magari wanakatisha parking lakini hawaweki karatasi kumjulisha mwenye gari kua amekatiwa Parking. Hii inasabaabisha madeni makubwa ambayo kiuhalisia mtu alikua hajui kama anadaiwa.
Inasababisha Usumbufu mkubwa sana.
Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ?
Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda...
Hawa jamaa wanahitaji pongezi kwa namna wanaaenda kwao kurudisha kilichopatikana pamoja na kujiweka tayari kwa kuingia mwaka mwingine.
Hakika kwa misafara ya magari yanayoelekea Kaskakazini especially Moshi ni dhahira tunapasaa kusema utamaduni huu umekua kivutio kikubwa sanaa ndani na nje ya...
Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani email na password pia kwa wakati huo siku kwenye matumizi navyo.
Kitu pekee nilichokua nacho kichwani...
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo.
2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka.
3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.