Recent content by Nelson Kapaya

  1. Nelson Kapaya

    Natafuta partner katika kazi za kutengeneza fanicha (Furniture)

    Kazi zote zinaweza kwenda pamoja brother, kwa kitafutwacho hapo ni pesa tu
  2. Nelson Kapaya

    Natafuta partner katika kazi za kutengeneza fanicha (Furniture)

    Nataka kufanya kazi za kutengeneza fanicha za chuma nahitaji mtu wa kushirikiana nae. Aliye tayari tunzungume tafadhali. Niko Dar - Kawe
  3. Nelson Kapaya

    Kununua bidhaa Albaba

    Mzigo wa laki saba hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Nelson Kapaya

    Kununua bidhaa Albaba

    Naomba kusaidiwa kujua: 1. Jinsi ya kununua/ kulipia bidhaa zao 2. Unazipataje baada ya kulipa? Wanatuma/unasafirisha mwenyewe? 3. Gharama za kusafirisha na bandarini inakuaje?
  5. Nelson Kapaya

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Mi niko Mwanza, sasa hizo mbegu za kununua zikiwa zimeota nitazipata kweli?
  6. Nelson Kapaya

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Asante, maana hapo umenitoa tongo tongo aisee
  7. Nelson Kapaya

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Kwa wazoefu wa kulia viazi mviringo naomba msaada wa kufahamishwa jinsi ya kuviotesha kabla ya kuvipanda shambani. Maana mwaka ulioisha virinigarimu baada ya kuniozea gunia tatu za mbegu wakati wa uoteshaji. Naenda sana Kilimo hiki, tafadhari naomba msaada.
  8. Nelson Kapaya

    Research writer

    bei maelewano tu mkuu
  9. Nelson Kapaya

    Natafuta kazi jamani

    Mimi kuhitimu shahada ya ualimu Masomo ya kiswahili na kiingereza (literature) naombeni msaada wa kupata kazi ya ufundishaji ama yoyote ile. 0753101293
  10. Nelson Kapaya

    Research writer

    Kwa yeyote anayehitaji usaidizi katika uandishi wa research proposal na research report wasiliana nami 0753101293
Back
Top Bottom