Mh, Babu Swahili hilo nalo neno, hasa hapo uliposema hata kwenye masherehe mtu ukiangalia album au video unakuta kweli watu wamenuna utadhani wapo msibani.
Lakini hii si kwa wote, mimi na mwenza wangu tuliamua siku nyingi kwamba raha tutajipa wenyewe, hata kwenye daladala tunapiga story na...