Recent content by nejad

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    NI UKOSEFU WA MAADILI TU.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    NDIO.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ninasema kitu chenye uhakika. Utumishi wanapoalika watu kwenye panel hawakuwa makini.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Basi sawa. Kuna mtu wiki hii amemfanyia panel interview mpenzi wake.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    WAKUU NIJIBUNI HII KITU. KUNA JAMBO SENSITIVE LIMETOKEA,TUCHUKUE HATUA MAPEMA.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wazee,hivi inaruhusiwa watu wenye mahusiano ya karibu kama ndugu,wapenzi n.k. kufanyishana interview? Mfano mtu kumfanyisha mpenzi wako interview ukiwa panelist? Ni sawa Hilo? Kuna matukio yametokea wiki hii nataka kupata uelewa.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, ubora wa Vyuo Vikuu hauko sawa; natoa mfano wa SUA

    Wale jamaa wamehama? Wamehama sababu gani? Na vyuo hani wamehamia? Kuna yule mmoja mweupe hivi alikua na ndevu an manywele mengi,nimemsahau jina,jamaa akikufundisha electronics usipoelewa basi una shida kubwa,hakuna theory jamaa haijui,hakuna idea utasema asikupe solution,sijawahi kuona mtu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mtu aliye Canada kimasomo

    Salaam. Wakuu natafuta mtu aliyeko Canada kimasomo kuna mambo nahitaji msaada wa haraka. Asante.
  9. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Unaambiwa sua mwanafunzi wa record management anasoma calculus,mtu aliyetoka hkl form six atasomaje hesabu chuo na hazitumii popote,utasikia sua ngumu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Nahisi wote wawili,sua kuna kitu hakiko sawa,na jamaa ameamua kuuambia umma,sema uuma wenyewe hautaki kufatilia haya mambo.
Back
Top Bottom