Recent content by Neiwa

  1. Neiwa

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Kumekuwa na hamasa hamasa ya maandamano kwa kupitia Mitandao ya Kijamii, haswa kupitia Instagram na Telegram. Hamasa hii imeamsha hisia za kila aina kwa wale ambao wanafuatilia kwa karibu. Hamasa hii imezaa makundi matatu: Kundi la kwanza: Wale wanaoamini haya maandamano yana tija na...
  2. Neiwa

    Kikwete - Polisi acheni kuua na kutesa raia

    Jeshi la Police wanapaswa kukumbushwa agizo hili la mstaafu...
  3. Neiwa

    Jokate Mwegelo: Magufuli na kisa cha Mussa na Wana wa Israeli

    Mkuu jibu lako halina uhusiano na lolote lile lililoandikwa katika bandiko hilo hapo juu.
  4. Neiwa

    Jokate Mwegelo: Magufuli na kisa cha Mussa na Wana wa Israeli

    Magufuli na kisa cha Mussa na Wana wa Israeli Musa alipitia vitu vingi ikiwemo kejeli, kujaribiwa na hatimae kufanikiwa kuwavusha Wana wa Israeli kuelekea nchi ya ahadi. Lakini kuna wakati wafuasi wake hao walipojaribiwa kidogo tu wakaanza kunung’unika na kumkebehi Musa kwamba ni kheri maisha...
  5. Neiwa

    JamiiForums' Managing Director, Maxence Melo advises young journalists to Invest in Online Media

    Maxence Melo, a director and co-founder of Jamii Forums told Azania Post that new media (online) have opportunity to reach many people through the internet. Tanzanian youth in higher learning institutions particular those who are studying mass communication have been advised to start...
  6. Neiwa

    Tanzania's president warns newspapers over dissent

    A clear eyed vision needs clear eyed criticism, he is just human, he should stop foreseeing himself as the almighty know it all. Mwananchi is credible and reputable. If there are flaws you just point out, threatening is a way for intimidated people who want to portray they are not scared. The...
  7. Neiwa

    Tanzania's president warns newspapers over dissent

    Tanzanian President John Magufuli said on Friday the "days were numbered" for newspapers deemed to incite dissent, comments that will add to opposition concern that his government is further narrowing the space for public criticism. Magufuli, nicknamed "the bulldozer" for pushing through his...
  8. Neiwa

    Zitto: CCM imechanganyikiwa, imepoteza mwelekeo wa kutatua matatizo makubwa ya Tanzania

    Mdau una mawazo gani juu ya msimamo huu wa Zitto? Rais amekuwa akifanya mambo mengi ambayo tunaona hata hao hao wana CCM hawapumui wala kukohoa linapokuja suala ambalo tayari rais wetu anakuwa ameamua. Nina hoja mbili tokana na habari hii; 1. Kuna haja ya kutafsiri yale anayoyafanya rais kuwa...
  9. Neiwa

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuhusu Hali ya Nchi - Adai Siasa ni Maendeleo

    Hotuba hii iliyotolewa katika Mkutano wa Kwanza wa Kidemokrasia Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam Jumamosi 08 Oktoba 2016 Ndugu Mama Anna Elisha Mghwira, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wazalendo, Ndugu Viongozi wote wa chama katika ngazi mbalimbali Ndugu Wanachama Ndugu wageni...
  10. Neiwa

    Online post converter, ugonjwa unaowasumbua wengi

    Alafu ugonjwa huu wa "online post converter" kuna wakati mtu asipokuwa makini, anaweza asitambue ni mwathirika wa ugonjwa huu :)
  11. Neiwa

    Maoni ya wananchi kuhusu taasisi za usimamizi kama PAC, LAAC & CAG

    Hizi taasisi za PAC, LAAC na CAG wakiwa serious, kutakuwa tu na accountability kwa kiasi cha kutia moyo.
  12. Neiwa

    Five ways an innovative program increased facility birth in Nigeria

    This post is part of our Translating Research into Practice Series, which features guest posts from authors of the MHTF-PLoS open-access collections describing the impact of their research since publication. The Midwives Service Scheme (MSS) was set up as a game changer to reduce maternal...
  13. Neiwa

    Medical charity MSF opens Ebola clinic for pregnant women

    (Reuters) - Medical charity Medicins Sans Frontiers (MSF) has opened the first care center in the current Ebola epidemic for pregnant women, whose survival rate from the virus is virtually zero, the charity said on Saturday. There is currently one patient in the clinic, which is perched on...
Back
Top Bottom