Recent content by Neils bohr

  1. Neils bohr

    Hii ndiyo sababu kwanini mtaji wako unashindwa kukua

    asante mkuu kwa mchango wako mzuri ...hakika umeongea ukweli mtupu
  2. Neils bohr

    Biashara kutoka China nitakayoweza kuuza mkoani

    Wanapiga hela sana maana yanatembea sana ...soko lake ni kubwa.. hope unajua chimbo yanapopatikana huko uchinani ... mostly yapo mji wa yuwi ...Yiwu wholesale market... district 4 ...kwenye daily necessities market. Ila pia kama unanguvu kubwa unaweza kwenda viwandani moja kwa moja
  3. Neils bohr

    Biashara kutoka China nitakayoweza kuuza mkoani

    Agiza mazaga ...mahitaji ya kila siku Dawa za meno vigor doctor..na...aloevera ...super black ...miswaki ya wakubwa na wadogo... dawa za mbu shenke (udi na kidonge) ...stick za meno... super glue (tembo)....viberiti vya gesi...nk Ukiweza kuleta vikafika kwa bei nzuri zaidi ya iliyopo sokoni...
  4. Neils bohr

    Upasuaji wa bawasiri

    Wajinga ndio waliwao... nenda hospitali kubwa yoyote iliyokaribu nawe ...kakutane na daktari bingwa wa upasuaji (general surgeon) ni procedure ya kawaida kabisa kwake ..pia hata ukikutana na daktari MD mzoefu anakufanyia vizuri kabisa ...kila raheri mkuu
  5. Neils bohr

    Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

    Boss fuata oder hii utapo fanya maamuzi ... 3 2 1 4 Biashara inayohusu wanawake utatoboa mkuu ... wanaume tunakomaa huko kwenye makazi na maBiashara mengine ..tunatuma na yakutolea ..kwaajili ya kusuka ... wanakuja kununua rasta kwako ...na wanabadili mitindo kila siku ..leo bambucha kesho...
  6. Neils bohr

    Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

    Namba nne achana nayo kwa milioni kumi itakutesa sana
  7. Neils bohr

    Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Vigezo gani unatakiwa kuwa navyo ..ili uwe wakala wa rangi mfano coral ..goldstar au plascon ...na wakupatie ile mashine ya kuchanganya rangi ??
  8. Neils bohr

    Kuwa wakala wa rangi za majumbani

    Mwanzisha mada tupatie mrejesho pia kama ulipata majibu ..asante
  9. Neils bohr

    Kuwa wakala wa rangi za majumbani

    Wenyekufahamu ..tunaomba majibu ...kwa faida ya wengi
  10. Neils bohr

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme

    Ni biashara nzuri sana ...na inafaida sana hasa kwa rejareja ...mfano ukipata mteja wa kufunga wiring ya nyumba nzima...anakuachia kibunda kizuri tu chap Changamoto kubwa ni wateja wako wakuu ni mafundi ...hivyo inabidi ujifunze namna ya kuishi nao...(sehemu zingine wanapewa % ya faida ) ..ili...
  11. Neils bohr

    Karibu tukujengee mtambo wa Biogas

    Garama zake zikoje ... ukitaka upate na umeme kabisa ..inawezekana pia ?
  12. Neils bohr

    Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

    Daktari ukiacha adenomysis , endometriosis hizo zingine zinasababisha maumivu ya hedhi ? Na ukiacha PID hivyo vingine vinasababishwa na uzinzi ??
Back
Top Bottom