Recent content by Neilntan

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuunganisha laini ya Vodacom ya kawaida kuwa ya chuo

    kwa hiyo Kuunga line ya voda mpaka kwa wakala au??
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta betry ya laptop mpya aina ya Acer aspire e1-510

    Niaje wadau wa humu mjengoni!! Natafuta battery kwa ajili ya Laptop yangu aina ya acer aspire E1-510. Hivyo baasi naomba mnisaidie kufahamu kuwa wapi zinauzwa na nitazipata vipi? Duka gani pamoja na bei yake ni sh ngapi???? Asanteni sanaaa!!!1
  3. N

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Naombeni msaada jinsi ya kudownload Torrent Files kwa kutumia IDM ili niweze kudownload faster kama ma file mengine!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Heslb mikopo yatatoka

    Unatupa presha bro!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Heslb hapa napo vipi

    Afadhali yako wewe kama inafunguka mpaka unaona hadi namba za M-pesa, mimi huku haifunguki,yaan inazingua kinoma.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Heslb ukombozi tenaa

    Umenipa presha kaka, ok tell us how we gon do it!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waliokosa mikopo elimu ya juu wapewa siku 14!

    Haki ya mtoto wa Mkulima lazima ipatikane,haiwezi kupindishwa hata kidogo,
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya waliokosa mkopo kutoka heslb

    Ina maana hujakosea katika ujazaji wa form? Suluhisho lako likoje kadri ulivyo fuatilia?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya waliokosa mkopo kutoka heslb

    Labda twaweza jipooza nazo na zitufute machozi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya waliokosa mkopo kutoka heslb

    Thanks for hope, tupia kitu kutoka vyanzo makini
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali ( Heslb )

    sio kama nimekutisha, ila nimeona ni bab'kubwa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya waliokosa mkopo kutoka heslb

    Nashangaa na ninazidi kujiuliza kila siku, JE ni nini hatima ya wale waliokosa mkopo ambao Form zao za kuombea mkopo hazikuwa na kasoro? Je kwa wale walioandikiwa NOT ELIGIBLE wanaishia wapi? Je hawana haki? Je hao sio watanzania? Je wote wanauwezo wa kujilipia? Je wana JF mnalionaje hilo?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali ( Heslb )

    Mmmmh! Majanga
  14. N

    JamiiForums Tanzania HESLB hawashirikishi ubongo.

    mambo hayo na hii ndio gava yetu ilivyo..fight for right
Back
Top Bottom