Recent content by neikia

  1. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Ni redio gani inarusha
  2. N

    JamiiForums Tanzania Maegesho ya magari jijini Dar

    Mkuu wa mkoa wa dar es salaam amezifutita kampuni za udalali zinazokamata magari yaliyoegeshwa sehemu zisizostahili kutokana na manyanyaso na faini kubwa wanazotoza.badala yake utapangwa utaratibu mwingine ambapo kazi hiyo itafanywa na suma jkt.chanzo taarifa ya habari ya channel ten
  3. N

    JamiiForums Tanzania Boda Congo malori yamewaka moto

    Ni whisky
  4. N

    JamiiForums Tanzania Boda Congo malori yamewaka moto

    Ni kweli matenk ya mafuta yamelipuka na kuna malori yalikua kwenye foleni pale yard yameungua mengi tuu na watu wengi wamepoteza maisha hali sio nzuri kutokana na malori kugeuza na kukimbia ilikua ni vigumu kupata picha taharuki ilikua kubwa na milipuko ya matenk ya kuhifadhia mafuta
  5. N

    JamiiForums Tanzania umeme umeme ni shidaaa

    UKONGA toka jana saa nne asubuhi hadi sasa hatuna umeme ni zaidi ya saa 34.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme

    Hiyo ni lugha nyepesi kwa jambo zito toka juzi uck hadi sasa haujarudi tayari yamepita hadi sasa masaa 30.na hatujui chochote kinachoendelea we hapo unaona ni jambo la kawaida eneo kubwa tangu tazara,airport,ukonga yote.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kero ya mawakala wa maegesho

    Tatizo mkuu wakati mwingine ulikua na muda wa kwenda huko sasa mi nilikuo sooo busy wameningangania vibaya
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kero ya mawakala wa maegesho

    Leo nimepaki gari pembeni ya duka kununua bidhaa nimemaliza kununua kutoka tu nje nimekuta gari ya noah imejaa watu kibao wanadaai wao ni mawakala wa magesho ya magari eti nimepaki njiani natakiwa kulipa faini au waite break down waivute gari yangu,na hiyo barabara ni local road maeneo ya...
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TBC1 & TBC2 Kurusha live mashindano ya fainali za kombe la dunia

    Ulichokiona ni recorded mambo live
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TBC1 & TBC2 Kurusha live mashindano ya fainali za kombe la dunia

    Tanzania ni zaidi ya uijavyo hapa tunajionea live dstv s3.shamrashamra za ufunguzi zinaendelea
  11. N

    JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa duniani

    Mungu ameamua kufichua uovu aliotendewa mtoto nasra aliyeishi kwenye box siku chache kabla ya umauti wake ili wahusika wapate machungu.maana huyu mtoto angefariki akiwa bado kwa mama yake mkubwa ukweli ungefichwa na wangeendelea kula bata , acha na hao waonje machungu hapa duniani.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ulipoanza darasa la kwanza?

    Nakumbuka mama alinishonea sketi ndefu sana hata kuvuka mtaro siwezi madai yake nikue nayo angalao inifikishe hadi darasa la nne.halafu kulikua na mwanafunzi anaitwa hemedi alikua na mkwara eti kila siku tumletee pesa na usipomletea unakula kichapo nakumbuka niliwahi kuiba pesa nyumbani...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Alipukiwa na simu na kufariki

    https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=146654&stc=1&d=1395597520
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mapya ndege wa ajabu Kagera-Watoto waanza kupumua kwa Shida na kuota vipele

    Poleni watu wa kagera endeleeni kumwomba Mungu hakuna kinachomshinda yeye.
Back
Top Bottom